Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNENE NI SHIDA! UNAONEKANA KUWA TISHIO KULIKO NJAA

Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa nchini Marekani umeonesha kuwa suala la unene wa kupita kiasi (obesity), limekuwa tatizo kubwa duniani kuliko hata tatizo la njaa. Takwimu zilizopo zinaonesha kuwa mwaka 1950, idadi ya watu waliokuwa wakikabiliwa na njaa duniani ilikuwa milioni 700. Kwa miaka hiyo, watu milioni 100 tu ndiyo walioathiriwa na matatizo ya unene wa kupita kiasi. Yaani watu milioni 700 walikuwa wanasumbuliwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Unene, shida na matibabu

Unene(obesity), ni ugonjwa unaokua kwa kasi kipindi hiki ukiambatana na madhara makubwa kiafya hata vifo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sudan kusini na tishio la njaa

Kufuatia zaidi ya miezi 8 ya mapigano Sudan Kusini, sasa inakabiliwa na tishio la baa la njaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Serikali yakana tishio la njaa Sudan.K

Waziri wa mashauri ya Nchi za kigeni wa Sudan Kusini amepuuzilia mbali tahadhari zilizotolewa kuwa taifa hilo changa limo katika hatari ya kukumbwa na baa la njaa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kwa nini kufiwa na mwenza kunamaanisha kuwa na njaa?

Kwa kawaida kifo cha mtu uliyefunga nae pingu za maisha huwa kinasikitisha sana, lakini baadhi ya taratibu za kimila zinazofanyika katika maeneo mbalimbali duniani zinaweza kumfanya mjane kuumia hata zaidi

 

9 years ago

StarTV

Kipindupindu chazidi kuwa tishio Dar:

Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuwa tishio kwa afya na maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na ongezeko la wagonjwa na vifo katika manispaa mbili kati ya tatu za jiji hilo.

Ugonjwa huo awali uliikumba Manispaa ya Kinondoni lakini sasa umeenea katika Manispaa ya Ilala na Temeke ambako kumelazimisha kufungwa baadhi ya visima vya maji na kupigwa marufuku biashara ya vyakula na matunda.

Hadi sasa imethibitishwa jiji la Dar es Salaam kuwa bado si salama kwa ugonjwa wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ongezeko la joto lazidi kuwa tishio

Ongezeko la joto duniani huenda likaleta madhara makubwa zaidi na ambayo hayawezi kurekebishika

 

11 years ago

Habarileo

Ukimwi wazidi kuwa tishio kwa watoto

HATARI ya kuongezeka kwa vifo vya watoto vinavyotokana na upungufu wa kinga mwilini (Ukimwi) na maradhi nyemelezi, inatishia taifa.

 

5 years ago

Michuzi

MINYOO BAPA YATAJWA KUWA TISHIO LA AFYA MIFUGO

Naibu Waziri wa Kilimo.na Mifugo Abdallah Hamis Ulega akizungumza katika mkutano wa siku moja wawataalam wa mifugo na Watafiti katika ukumbi wa Mauntmeru Holel leo.
Na.Vero Ignatus,Arusha
Serikali kupitia wizara ya mfugo imepokea utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha kilimo Sokoine kwa kushirikiana na chuo cha Livepol cha Uingereza na kile Bristone uingereza kuhusu athari na njia za kudhibiti magonjwa ya minyoo
Utafiti huo pia uliangazia kuwepo kwa sugu wa vimelea vya magonjwa hayo kwa dawa...

 

10 years ago

Habarileo

Shibuda- Heri kuwa msaliti kuliko mhaini

MJUMBE wa Bunge Maalumu, John Shibuda, amesema ni heri kuwa msaliti kuliko kuwa mhaini kwa maslahi mapana ya Watanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani