Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ongezeko la joto lazidi kuwa tishio

Ongezeko la joto duniani huenda likaleta madhara makubwa zaidi na ambayo hayawezi kurekebishika

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto

Mvua kubwa isiyotabirika inatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hasa katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini, maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Unguja na Pemba; pia katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis aonya kuhusu ongezeko la joto

Papa Francis amesema ni jambo la aibu kama viongozi wa dunia hawatafikia muafaka juu ya namna ya kupambana ongezeko la joto duniani.

 

5 years ago

Michuzi

JOTO LAZIDI KUPANDA MECHI YANGA NA SIMBA, DAKIKA 90 ZA MCHEZO KUAMUA NANI MBABE

Na Said Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

KADRI muda unavyosonga mbele kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba itakayochezwa leo Machi 8 mwaka huu 2020, saa 11 jioni mashabiki lukuki wameanza kujitokeza katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku kila upande ukiwa umejawa na tambo za ushindi.

Mechi ya Yanga na Simba ni moja ya mechi ambazo zimekuwa na utamaduni mkubwa wa kujaza mashabiki, wapenzi na wachama wa vilabu hivyo hasa kwa kuzingatia ni mechi ambayo hutawaliwa...

 

11 years ago

Michuzi

Ongezeko la gesi joto ni kutoitendea haki dunia:Muyungi

Ni lazima wanadamu waitendee haki dunia kwa kuwa hakuna dunia nyingine na njia pekee ni kuhakikisha ukomeshwaji wa ongezeko la gesi joto. Huu ni wito wa wake mwenyekiti wa kamati ya dunia ya kisayansi na taaluma ya makataba kuhusu makubaliano ya hali ya hewa Richard Muyungi akizungumza katika siku ya kimataifa ya sayari dunia
Katika mahojiano maaluma na Joseph Msami wa idhaa hii Muyungi aliyebobea katika masuala ya mabadiliko ya tabia nchi anasema ujenzi wa miji na vijiji usioongeza joto...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt.Kijazi:Ongezeko la joto duniani,limesababisha mabadiliko ya hali ya hewa


Na Karama Kenyunko,Michuzi Globu.


Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi

KILA ifikapo Machi 23 kila mwaka,dunia mzima huadhimisha siku ya hali ya hewa duniani. Ni siku ambayo Mkataba wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ulisainiwa mwaka 1950. Kwa kawaida siku hii huadhimishwa na kila nchi mwanachama wa shirika hilo.
 Taasisi za Hali ya Hewa, zikiwa ni Mamlaka zilizopewa jukumu la kutoa na kusimamia huduma za hali ya hewa katika nchi wanachama wa WMO,hutumia siku hii kuonesha na kueleza...

 

9 years ago

StarTV

Tanzania yatajwa kuwa na ongezeko la wagonjwa ya kisukari

Tanzania yatajwa kuwa nchi ya 8 kati ya nchi kumi Barani Afrika zinazoongoza kwa wagonjwa wa Kisukari, kwasababu ya  ongezeko la wa watu wenye kisukari kadri siku zinavyokwenda katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Kutokana na tafiti za Kisukari za mwaka 2012, zinaonyesha kuwa hadi kufikia mwaka 2035 idadi ya wagonjwa wa kisukari inatarajiawa kufikia million 592 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutozingatia kanuni za afya.

Wakati Tanzania ikitarajia kuadhimisha siku ya Kisukari Duniani,...

 

9 years ago

StarTV

Kipindupindu chazidi kuwa tishio Dar:

Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuwa tishio kwa afya na maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na ongezeko la wagonjwa na vifo katika manispaa mbili kati ya tatu za jiji hilo.

Ugonjwa huo awali uliikumba Manispaa ya Kinondoni lakini sasa umeenea katika Manispaa ya Ilala na Temeke ambako kumelazimisha kufungwa baadhi ya visima vya maji na kupigwa marufuku biashara ya vyakula na matunda.

Hadi sasa imethibitishwa jiji la Dar es Salaam kuwa bado si salama kwa ugonjwa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani