Ongezeko la gesi joto ni kutoitendea haki dunia:Muyungi
![](http://4.bp.blogspot.com/-AfL-Suqlxac/U1bcQ7MRKtI/AAAAAAAFcZw/xVIXEcJMyV4/s72-c/unnamed+(22).jpg)
Ni lazima wanadamu waitendee haki dunia kwa kuwa hakuna dunia nyingine na njia pekee ni kuhakikisha ukomeshwaji wa ongezeko la gesi joto. Huu ni wito wa wake mwenyekiti wa kamati ya dunia ya kisayansi na taaluma ya makataba kuhusu makubaliano ya hali ya hewa Richard Muyungi akizungumza katika siku ya kimataifa ya sayari dunia
Katika mahojiano maaluma na Joseph Msami wa idhaa hii Muyungi aliyebobea katika masuala ya mabadiliko ya tabia nchi anasema ujenzi wa miji na vijiji usioongeza joto...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Ongezeko la joto lazidi kuwa tishio
10 years ago
Mwananchi31 Dec
TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Papa Francis aonya kuhusu ongezeko la joto
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-sZA7m7t12xk/XnjHS7LXouI/AAAAAAALk1g/thLeX3ll6aAIr06bsmNxTtvJ8-rjK98VwCLcBGAsYHQ/s72-c/image1170x530cropped.jpg)
Dkt.Kijazi:Ongezeko la joto duniani,limesababisha mabadiliko ya hali ya hewa
Na Karama Kenyunko,Michuzi Globu.
![](https://1.bp.blogspot.com/-sZA7m7t12xk/XnjHS7LXouI/AAAAAAALk1g/thLeX3ll6aAIr06bsmNxTtvJ8-rjK98VwCLcBGAsYHQ/s640/image1170x530cropped.jpg)
KILA ifikapo Machi 23 kila mwaka,dunia mzima huadhimisha siku ya hali ya hewa duniani. Ni siku ambayo Mkataba wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ulisainiwa mwaka 1950. Kwa kawaida siku hii huadhimishwa na kila nchi mwanachama wa shirika hilo.
Taasisi za Hali ya Hewa, zikiwa ni Mamlaka zilizopewa jukumu la kutoa na kusimamia huduma za hali ya hewa katika nchi wanachama wa WMO,hutumia siku hii kuonesha na kueleza...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Ongezeko la ajali za barabarani, madhara yake kiuchumi na haki ya kudai fidia
11 years ago
Habarileo25 Jun
Benki ya Dunia yaonya ongezeko deni la taifa
BENKI ya Dunia imeonesha wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa deni la taifa kutokana na Serikali kuendelea kukopa mikopo ya biashara ya ndani hadi kuzidi kiwango kilichowekwa na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa asilimia 1.2 ya Pato Halisi la Taifa (GDP).
10 years ago
Vijimambo31 Dec
TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2574130/highRes/911159/-/maxw/600/-/pxc51bz/-/kimbunga_mvua.jpg)
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Viwango vya juu vya joto vitakumba Dunia
9 years ago
StarTV21 Aug
Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa
Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.
Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...