Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yatajwa kuwa na ongezeko la wagonjwa ya kisukari

Tanzania yatajwa kuwa nchi ya 8 kati ya nchi kumi Barani Afrika zinazoongoza kwa wagonjwa wa Kisukari, kwasababu ya  ongezeko la wa watu wenye kisukari kadri siku zinavyokwenda katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Kutokana na tafiti za Kisukari za mwaka 2012, zinaonyesha kuwa hadi kufikia mwaka 2035 idadi ya wagonjwa wa kisukari inatarajiawa kufikia million 592 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutozingatia kanuni za afya.

Wakati Tanzania ikitarajia kuadhimisha siku ya Kisukari Duniani,...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kliniki za kisukari kutoa huduma jumuishi kwa wagonjwa wa kisukari nchini India

Image 1

from left to Right – Sangita Reddy, Chairperson, Apollo Sugar and Joint Managing Director, Apollo Hospitals, Christopher A. Viehbacher, Chief Executive Officer, Sanofi, Dr. Prathap Reddy, Chairman – Apollo Hospitals Group and Dr. Deepak Chopra, Renowned Global Spiritual Guru.

Hospitali maarufu za kimataifa za Apollo ambazo zimeazimia kufungua hospitali na kliniki mbali mbali nchini, hivi karibuni zimetangaza uamuazi wake wa kushirikiana na Sanofi katika upanuzi wa Kliniki za Kisukari za...

 

11 years ago

Mwananchi

Sababu za ongezeko la VVU Rukwa yatajwa

Kasi ya ongezeko la wageni wanaoingia na kufanya shughuli za kiuchumi mkoani Rukwa imetajwa kwamba ndiyo kiini cha kushamiri kwa biashara ya ngono, hivyo kusababisha ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania yatajwa kuwa eneo muhimu kuzalisha methano

Ujumbe wa Tanzania uliopo nchini Canada kwa ziara ya mafunzo ukiongozwa na Naibu Waziri Nishati na Madini, Charles Kitwanga (aliyenyoosha mkono), ukiwa katika chumba cha kusimamia mitambo ya kuzalisha methano (haionekani pichani) katika kiwanda cha kuzalisha malighafi hiyo kilicho katika jimbo la Alberta nchini Canada. Ujumbe wa Tanzania uliopo nchini Canada ukiongozwa na Naibu Waziri Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa nne kutoka kushoto, waliosimama), ukiwa katika picha ya pamoja na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Ulaji usiozingatia lishe bora ongezeko la kisukari’

ULAJI usiozingatia lishe bora na unene uliopitiliza kutokana na kutofanya mazoezi, kumeelezwa kuwa chanzo cha ongezeko kubwa la ugonjwa wa kisukari hapa nchini. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana...

 

10 years ago

BBCSwahili

wagonjwa wa Kisukari na changamoto zao

wagonjwa wa saratani na kisukari nchini Tanzania, wataka bajeti ya kupamabana na maradhi hayo kuongezwa .

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Tanzania yathibitisha kuwa wagonjwa 13 wa corona

Waziri wa afya nchini Tanzania, bi. Ummy Mwalimu wagonjwa 12 wa ugonjwa wa corona.

 

5 years ago

Michuzi

MINYOO BAPA YATAJWA KUWA TISHIO LA AFYA MIFUGO

Naibu Waziri wa Kilimo.na Mifugo Abdallah Hamis Ulega akizungumza katika mkutano wa siku moja wawataalam wa mifugo na Watafiti katika ukumbi wa Mauntmeru Holel leo.
Na.Vero Ignatus,Arusha
Serikali kupitia wizara ya mfugo imepokea utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha kilimo Sokoine kwa kushirikiana na chuo cha Livepol cha Uingereza na kile Bristone uingereza kuhusu athari na njia za kudhibiti magonjwa ya minyoo
Utafiti huo pia uliangazia kuwepo kwa sugu wa vimelea vya magonjwa hayo kwa dawa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Real Madrid yatajwa kuwa Club tajiri zaidi duniani

Real-Madrid-CF-2014-2015-First-Team-Squad-Wallpaper-1366x768

Real Madrid, mabingwa mara kumi wa Ulaya, wameweza kushikilia nafasi ya kwanza kama timu tajiri zaidi duniani kwa mwaka wa kumi mfululizo, katika orodha ya Deloitte ya timu tajiri duniani.

Manchester United imesogea hadi nafasi ya pili kutoka ya nne, katika tathmini iliyofanywa kwa kuzingatia mapato ya msimu wa 2013-14.

Bayern Munich, Barcelona na Paris Saint-Germain zimechukua nafasi ya tatu, nne na tano.

Klabu za England za Manchester City, Chelsea, Arsenal na Liverpool zimo katika nafasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani