Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ulaji usiozingatia lishe bora ongezeko la kisukari’

ULAJI usiozingatia lishe bora na unene uliopitiliza kutokana na kutofanya mazoezi, kumeelezwa kuwa chanzo cha ongezeko kubwa la ugonjwa wa kisukari hapa nchini. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ulaji wetu na maradhi ya kisukari-3

Tunaweza kuyakabili maradhi ya kisukari kwa njia kuu nne. Mosi, kuwa na elimu kuhusu maradhi ya kisukari na mtu kuwa na uwezo wa kujipima kiwango cha sukari mwilini mwake. Pili, ni kula mlo kamili, tatu kufanya mazoezi na nne ni kupata tiba sahihi ya maradhi ya kisukari.

 

9 years ago

StarTV

Tanzania yatajwa kuwa na ongezeko la wagonjwa ya kisukari

Tanzania yatajwa kuwa nchi ya 8 kati ya nchi kumi Barani Afrika zinazoongoza kwa wagonjwa wa Kisukari, kwasababu ya  ongezeko la wa watu wenye kisukari kadri siku zinavyokwenda katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Kutokana na tafiti za Kisukari za mwaka 2012, zinaonyesha kuwa hadi kufikia mwaka 2035 idadi ya wagonjwa wa kisukari inatarajiawa kufikia million 592 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutozingatia kanuni za afya.

Wakati Tanzania ikitarajia kuadhimisha siku ya Kisukari Duniani,...

 

11 years ago

Mwananchi

Mzoeshe mwanao ulaji wa chakula bora

Katika pitapita zangu nilifanikiwa kukutana na chapisho moja la kitabu maarufu kilichoandikwa na Daktari Bingwa wa Watoto kutoka nchini Marekani.

 

10 years ago

Mwananchi

Jenga tabia ya ulaji wa chakula bora

Katika familia, mara kwa mara wazazi huelekeza nguvu zao kuhakikisha watoto au familia kwa jumla inaishi maisha ya furaha siku zote.

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kupangilia mfumo wa ulaji bora kwa afya thabiti

Maisha ya mwanadamu yanapitia hatua mbalimbali za maisha na ukuaji. Kila awamu ya maisha inahitaji ulaji wa chakula wa aina yake. Iwapo ni mtoto, mwili unahitaji virutubisho ili kusaidia ukuaji wa mwili.

 

10 years ago

Habarileo

Iringa watakiwa kuzingatia lishe bora

WAKAZI wa mkoa wa Iringa wametakiwa kushiriki vita dhidi ya utapiamlo, udumavu na upungufu wa damu kwa watoto, kwa kuwapa lishe bora.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUPAMBANA NA UKOSEFU WA LISHE BORA

 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisalimiana na mwakilishi kutoka UNICEF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.  Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisikiliza kwa makini hoja iliyokuwa ikitolewa na mwakilishi kutoka CIFF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.

 Wajumbe kutoka nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya ( hayupo kwenye picha) alipokuwa akiwasilisha mada na kuchangia hoja mbalimbali katika mkutano uliohusu Lishe bora kwa mtoto...

 

11 years ago

Habarileo

Watoto wengi hawana lishe bora

WATAALAMU wa sekta ya afya mkoani Morogoro, wameeleza kuwa watoto wengi wanakabiliwa na uzito pungufu na udumavu, kutokana kukosa lishe bora.

 

11 years ago

Mwananchi

Wapeni lishe bora watoto wenu-Rai

Wazazi wametakiwa kutilia mkazo lishe na afya za watoto wao, kwani kwa kufanya hivyo kutawaongezea uwezo wa kujifunza shuleni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani