Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulaji wetu na maradhi ya kisukari-3

Tunaweza kuyakabili maradhi ya kisukari kwa njia kuu nne. Mosi, kuwa na elimu kuhusu maradhi ya kisukari na mtu kuwa na uwezo wa kujipima kiwango cha sukari mwilini mwake. Pili, ni kula mlo kamili, tatu kufanya mazoezi na nne ni kupata tiba sahihi ya maradhi ya kisukari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Ulaji usiozingatia lishe bora ongezeko la kisukari’

ULAJI usiozingatia lishe bora na unene uliopitiliza kutokana na kutofanya mazoezi, kumeelezwa kuwa chanzo cha ongezeko kubwa la ugonjwa wa kisukari hapa nchini. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Wenye kisukari hatarini kwa maradhi ya kinywa

Watu wanaougua ugonjwa wa kisukari wako katika hatari zaidi kupata magonjwa ya kinywa na meno, kwa sababu sukari ina nafasi kubwa katika kusababisha magonjwa hayo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kliniki za kisukari kutoa huduma jumuishi kwa wagonjwa wa kisukari nchini India

Image 1

from left to Right – Sangita Reddy, Chairperson, Apollo Sugar and Joint Managing Director, Apollo Hospitals, Christopher A. Viehbacher, Chief Executive Officer, Sanofi, Dr. Prathap Reddy, Chairman – Apollo Hospitals Group and Dr. Deepak Chopra, Renowned Global Spiritual Guru.

Hospitali maarufu za kimataifa za Apollo ambazo zimeazimia kufungua hospitali na kliniki mbali mbali nchini, hivi karibuni zimetangaza uamuazi wake wa kushirikiana na Sanofi katika upanuzi wa Kliniki za Kisukari za...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete azuia ‘ulaji’ trafiki

RAIS Jakaya Kikwete ameliagiza Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, kuanzisha mara moja mfumo wa ulipaji faini kwa njia ya Benki na mitandao ya simu za mkononi ili kupunguza ushawishi wa vitendo vya rushwa kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini.

 

11 years ago

GPL

Stewart apewa ulaji TFF

Mkurugenzi wa Ufundi wa Kampuni ya Symbion Power, Muingereza Stewart Hall. Omary Mdose na Said Ally
MKURUGENZI wa Ufundi wa Kampuni ya Symbion Power, Muingereza Stewart Hall, ameteuliwa kuwa mshauri wa timu ya taifa ya Vijana U-20 inayojiandaa na mechi ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Vijana  Afrika. Michuano hiyo itafanyika  nchini Senegal mwakani  na timu hiyo itaanza kwa kuvaana na Kenya kwenye mchezo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hodgson kuongea ulaji England

Shirikisho la soka England lina mpango wa kuwa na mazunguzo na Kocha mkuu wa timu ya England Roy Hodgson mapema mwaka ujao.

 

11 years ago

Mwananchi

Majuto: Acheni kutuharibia ulaji

Mwigizaji nguli Amri Athumani (King Majuto),amewajia juu wanaovamia fani ya vichekesho kwa kufanya vitendo alivyosema vinatia kinyaa kuviangalia.

 

10 years ago

GPL

BUNGE MAALUM LA KATIBA ULAJI

Na MWANDISHI WETU
BUNGE Maalum la Katiba linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma, halitaendelea baada ya Oktoba 4, mwaka huu hadi baada ya uchaguzi mkuu mwakani, hali inayoelezwa kuwapa ulaji wa bure wajumbe wake kwa vile katiba mpya haitapatikana kwa sasa. Kikao maalum kati ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokratia Tanzania (TCD) kilikubaliana kwamba muda uliobaki hauwezi kumaliza mchakato wa upatikanaji wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ukatili Wampa Ulaji Jengua

Muigizaji mkongwe wa hapa Bongo, Mzee Jengua  amesema kuwa ameshirikishwa  katika filamu ya Sio Dili inayohusu mauaji ya Albino kutokana na hulka yake ya ukatili awapo kazini.

Akizungumza na Gazeti la Nipashe , Jengua  alisema  muandaaji wa filamu hiyo aliona yeye ndio  anafaa kuwa mtu  anayefanya biashara ya viungo vya Albino kutokana na uigizaji wake wa ukatili, katika filamu zilizopita.

Jengua hata hivyo amesema anaumizwa na tabia za watu ambao hukata viungo vya au kuwaua  kwa imani za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani