Stewart apewa ulaji TFF
![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*Uz7JVBkVy-iQIdDLPxQb-Z3dvAFwPxx34cYbFSfXZl47NxEORwsCHzOgKoq2uQzjK-27pPjy6lctOLBMJ5mDjT/stewat.jpg?width=650)
Mkurugenzi wa Ufundi wa Kampuni ya Symbion Power, Muingereza Stewart Hall. Omary Mdose na Said Ally MKURUGENZI wa Ufundi wa Kampuni ya Symbion Power, Muingereza Stewart Hall, ameteuliwa kuwa mshauri wa timu ya taifa ya Vijana U-20 inayojiandaa na mechi ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Vijana Afrika. Michuano hiyo itafanyika nchini Senegal mwakani na timu hiyo itaanza kwa kuvaana na Kenya kwenye mchezo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Stewart aiponda Azam FC
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Stewart alia na mabeki, Cecafa
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall, amesema safu ya ulinzi ya timu hiyo ilicheza vibaya dhidi ya Simba juzi na kusababisha matokeo ya sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Licha ya sare hiyo, Azam imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na pointi 26, Yanga ikifuatia kwa pointi 24, Mtibwa Sugar 23 na Simba ikijikusanyia pointi 22 katika nafasi ya nne.
Akizungumza mara baada ya...
9 years ago
Mtanzania14 Sep
Stewart agundua dosari Azam
NA MSHAMU NGOJWIKE, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall raia wa Uingereza, amegundua dosari ndani ya kikosi chake huku akieleza kuwa hajaridhishwa na ubora wa nyota wake kutokana na uwezo walioonyesha katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons.
Azam ambao wameanza mkakati wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kushindwa kuutetea msimu uliopita, juzi waliwakaribisha Prisons kwenye Uwanja wa Azam, Complex na kufanikiwa kuibuka...
9 years ago
TheCitizen30 Nov
Stewart Hall: We are now focusing on physical fitness
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82009000/jpg/_82009190_b4ejs_ziyaa_s-c.jpg)
African comedian replaces Jon Stewart
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Msanii Trevor Noah kumrithi John Stewart
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/rJlZn4Rf9uM/default.jpg)
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/14E2E/production/_85805558_85805550.jpg)
VIDEO: 'Jon Stewart gave me lots of advice'
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Mchekeshaji Trevor Noah amrithi John Stewart