Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete azuia ‘ulaji’ trafiki

RAIS Jakaya Kikwete ameliagiza Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, kuanzisha mara moja mfumo wa ulipaji faini kwa njia ya Benki na mitandao ya simu za mkononi ili kupunguza ushawishi wa vitendo vya rushwa kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?

Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa ufupi ni kwamba> Mara baada ya kumkamata mwendeshaji Hamisi Omary kwa kusa la kupakia mzigo mkubwa wa mbao alimwamuru kulipa faini ya shilingi elfu 30, naye Hamisi akamwomba msamaha kwa Traffic huyo kwamba ni fedha nyingi sana ambayo hawezi kuilipa kwa hata kipato anachokipata toka kwa tajiri...

 

10 years ago

Habarileo

Azuia ‘ambulance’ zisitumike

MKUU wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Williman Ndile, amezuia magari mawili ya wagonjwa yasitumike kwa sababu hayana ubora.

 

11 years ago

GPL

RAIS BANDA AZUIA MATOKEO

Rais Joyce Banda wa Malawi ameamuru kusitishwa shughuli za kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu, aamuru uchaguzi urudiwe ndani ya siku 90, yeye kutogombea!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani azuia matumizi ya ardhi

DIWANI wa Kata ya Wazo, Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, John Morro, ameitaka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na manispaa hiyo kutofanya lolote katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Kopunovic azuia kambi Simba SC

 Kocha Mkuu wa Simba Goran Kopunovic ametoa uamuzi uliowafurahisha wachezaji wake baada ya kuamrisha kuwa timu hiyo iingie kambini kesho badala ya jana jioni kama uongozi wa timu hiyo ulivyopanga.

 

9 years ago

Habarileo

RC azuia kilimo kwenye milima

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa amepiga marufuku wananchi kulima juu ya milima. Galawa alitoa agizo hilo juzi katika kijiji cha Miganga kilichopo wilaya ya Chamwino wakati alipotembelea mradi wa majiko banifu yanayosaidia kutunza mazingira.

 

10 years ago

Habarileo

RC azuia majeshi kutumika kiholela

MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Kanali mstaafu Issa Machibya amezuia kutumika kiholela kwa vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama mkoani humo katika shughuli mbalimbali za kijamii hadi atakapotoa ruhusa ya kutumika kwao kutokana kutumika vibaya kwa majeshi hayo.

 

11 years ago

GPL

Manji azuia mamilioni ya Okwi

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Lucy Mgina
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, ameonyesha ukomavu katika uongozi wa soka baada ya kukataa wachezaji wake kuuzwa katika kipindi timu yao inapambana kutetea ubingwa wa Tanzania Bara. Manji amekataa kuuzwa kwa Emmanuel Okwi kwa Klabu ya Al Ain ya Abu Dhabi ambayo ilikuwa tayari kutoa kitita cha dola 500,000 (Sh milioni 818) kwa kuwa si wakati mwafaka.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri azuia ujenzi stendi ya Igumbilo

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk. Binilith Mahenge, ameuzuia kwa muda uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kujenga stendi mpya ya mabasi yaendayo mikoani katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani