Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani azuia matumizi ya ardhi

DIWANI wa Kata ya Wazo, Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, John Morro, ameitaka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na manispaa hiyo kutofanya lolote katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji wataka matumizi bora ya ardhi

ASILIMIA 75 ya watanzania ni wafugaji hivyo serikali imeombwa kuharakisha mpango wa upimaji matumizi bora ya ardhi ili kuepuka migogoro ya wakulima na wafugaji inayorudisha nyuma juhudi za maendeleo. Rai...

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake washauriwa matumizi mazuri ya ardhi

SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow limewataka wanawake kujali umuhimu wa utumiaji ardhi, ili kuongeza uzalishaji kwa faida yao binafsi na jamii kwa ujumla.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yahimizwa kuharakisha mpango wa matumizi ya ardhi

SERIKALI imetakiwa kuharakisha mpango wa matumizi bora ya ardhi katika vijiji 79 vilivyopo katika Wilaya Kisarawe mkoani Pwani kuepusha migogoro ya mipaka baina ya kijiji na kijiji. Wito huo ulitolewa...

 

10 years ago

Michuzi

MATUMIZI MABAYA YA ARDHI TISHIO KWA UHIFADHI

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu 
 Na Woinde Shizza,Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema kuwa matumizi mabaya ya ardhi yasiyozingatia mpango bora wa matumizi ya ardhi yamekua tishio kwa maeneo uhifadhi hivyo kupelekea uvamizi wa maeneo hayo na kutumiwa kwa shughuli za ufugaji na kilimo kinyume cha utaratibu.
Nyalandu amesema hayo jana wakati akihutubia mkutano wa kati ya Wizara na Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori (WMAs) uliofanyika jijini hapa,amesema kuwa...

 

5 years ago

Habarileo

Waahidi nidhamu katika matumizi ya ardhi ya pori tengefu

WANANCHI wa kata saba wilayani Ngorongoro mkoani Arusha waliokubaliana kumaliza mgogoro wa pori tengefu la Loliondo lenye kilometa 1,500 za mraba, wamesema endapo maoni yao yatakubaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, watakuwa na nidhamu ya matumizi bora ya ardhi.

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WIZARA YA ARDHI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA


WATUMUSHI wawili wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne yakiwemo ya matumizi mabaya ya madaraka na kutumia nyaraka kumdanganya mwajiri.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na wakili wa Serikali Ipyana Mwakatobe leo Juni 17, 2020 imewataja washtakiwa hao kuwa ni, Peter Mrema na Adam Yusuf ambao ni waajiriwa wa wizara kama wathamini wa ardhi katika ofisi ya Mthamini Mkuu.
Mbele ya Hakimu...

 

5 years ago

CCM Blog

MAENEO YANAYOZUNGUKA VITUO VYA TRENI YA MWENDOKASI KUWEKEWA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

.  Timu ya Maafisa Mipango Miji kutoka Wizara ya Ardhi, wakijadiliana na wahandisi wa ujenzi reli ya kissasa (SGR) jinsi gani wanaweza kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania kuendeleza maeneo yanayozunguka vituo kwa kuzingatia shughuli na mahitaji ya vituo hivyo vya treni ili kuepuka ujenzi holela katika maeneo yote yatakayokuwa na vituo vikubwa na vya kati vya treni ya mwendo kasi.
  Mhandisi Hamza Said (mwenye kofia) kutoka Shirika la Reli Tanzania akiwaelezea wataalam wa Mipango Miji...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI AHIMIZA MPANGO SHIRIKISHI KUENDELEZA ARDHI KATA YA MAKONGO KWA MATUMIZI BORA NA ENDELEVU.

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angellah Kairuki akisisitiza namna mabaraza ya ardhi yanavyopaswa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa, wakati wa mkutano wa Waziri wa wizara hiyo  na wananchi wa kata ya Makongo leo jijini Dar es salaam. Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na wa kwanza kushoto ni Diwani wa Kata ya Makongo Deusdedith Mtiro. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua Kongamano la tano la Kimataifa la kujadili matumizi ya Nishati itokanayo na joto ardhi katika Nchi za Afrika

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Tano la Kimataifa la kujadili matumizi ya Nishati itokanayo na joto ardhi katika Nchi za Afrika zinazopitiwa na bonde la ufa. Kongamano hilo limeanza jana Oktoba 29, 2014 katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha. (Picha na OMR). 3 Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt Bilal, kufungua kongamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani