WATUMISHI WIZARA YA ARDHI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-FYL7lpJZFbE/Xuoazdc_tJI/AAAAAAALuPE/-fRMQCewTWsCf4YDFqsBydupVqJoJXIVQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B4.13.05%2BPM%2B%25282%2529.jpeg)
WATUMUSHI wawili wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne yakiwemo ya matumizi mabaya ya madaraka na kutumia nyaraka kumdanganya mwajiri.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na wakili wa Serikali Ipyana Mwakatobe leo Juni 17, 2020 imewataja washtakiwa hao kuwa ni, Peter Mrema na Adam Yusuf ambao ni waajiriwa wa wizara kama wathamini wa ardhi katika ofisi ya Mthamini Mkuu.
Mbele ya Hakimu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QB92lHOemks/VEE5GsmynEI/AAAAAAAGrXE/ctNWe4TMmEg/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Meya Manispaa ya Tabora apandishwa kizimbani Baraza la Maadili kwa matumizi mabaya ya madaraka na kutoa Tamko la uongo la mali zake.
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Mkurugenzi TBS jela mwaka kwa matumizi mabaya ya madaraka
11 years ago
Michuzi17 Apr
KAIMU MKURUGENZI TANESCO KIZIMBANI KWA MATUMIZI MABAYA YA OFISI
10 years ago
MichuziMATUMIZI MABAYA YA ARDHI TISHIO KWA UHIFADHI
Na Woinde Shizza,Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema kuwa matumizi mabaya ya ardhi yasiyozingatia mpango bora wa matumizi ya ardhi yamekua tishio kwa maeneo uhifadhi hivyo kupelekea uvamizi wa maeneo hayo na kutumiwa kwa shughuli za ufugaji na kilimo kinyume cha utaratibu.
Nyalandu amesema hayo jana wakati akihutubia mkutano wa kati ya Wizara na Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori (WMAs) uliofanyika jijini hapa,amesema kuwa...
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Dk Karl Peters: Mfano mbaya wa matumizi mabaya ya madaraka
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Watumishi Wizara ya Ardhi watimuliwa kikaoni
WATUMISHI kutoka Wizara ya Ardhi na wale wa Halmashauri ya Bagamoyo wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kutimuliwa katika kikao kilichoandaliwa na wakazi wa Kijiji cha Makaani Gama, Kata ya...
9 years ago
StarTV10 Nov
Serikali yapiga marufuku matumizi mabaya ya mipaka kwa vyombo vya habari
Serikali imepiga marufuku matumizi mabaya ya ramani ya Tanzania kwa vyombo vya habari nchini ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa Ramani hizo mitaani.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assa Mwambene alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assa Mwambene amesema vyombo vya habari hapa nchini vimekuwa vikitumia ramani ya Tanzania isivyo sahihi ambayo inaonyesha ziwa nyasa kuwa upande wa nchi ya...
10 years ago
Habarileo31 Aug
Askari wa JWTZ kizimbani kwa tuhuma za mauaji
ASKARI wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa tuhuma ya kumpiga hadi kumuua Chacha Juma, mkazi wa Nzega Mjini.
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Watu 12 kizimbani kwa tuhuma za mauaji ya Kiteto