KAIMU MKURUGENZI TANESCO KIZIMBANI KWA MATUMIZI MABAYA YA OFISI
Na Miriam Mosses Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Robert Semtutu na wenzake wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka mawili ikiwemo kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh.milioni 200. Washtakiwa wengine ni, aliyekuwa Afisa Ugavi wa Tanesco, Hanin Mahambo, Mkurugenzi wa fedha Lusekeo Kasanga,Mwanasheria Godson Ezekiel pamoja na Mkandarasi Martin Abraham. Mwendesha Mashtaka wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FYL7lpJZFbE/Xuoazdc_tJI/AAAAAAALuPE/-fRMQCewTWsCf4YDFqsBydupVqJoJXIVQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B4.13.05%2BPM%2B%25282%2529.jpeg)
WATUMISHI WIZARA YA ARDHI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-FYL7lpJZFbE/Xuoazdc_tJI/AAAAAAALuPE/-fRMQCewTWsCf4YDFqsBydupVqJoJXIVQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B4.13.05%2BPM%2B%25282%2529.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-rlyk4TUNr_w/Xuoaymoq1YI/AAAAAAALuO8/lwLHpm0pSxcFmAmv34GVpBSUTsIwytxKwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B4.13.07%2BPM.jpeg)
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na wakili wa Serikali Ipyana Mwakatobe leo Juni 17, 2020 imewataja washtakiwa hao kuwa ni, Peter Mrema na Adam Yusuf ambao ni waajiriwa wa wizara kama wathamini wa ardhi katika ofisi ya Mthamini Mkuu.
Mbele ya Hakimu...
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Mkurugenzi TBS jela mwaka kwa matumizi mabaya ya madaraka
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QB92lHOemks/VEE5GsmynEI/AAAAAAAGrXE/ctNWe4TMmEg/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Meya Manispaa ya Tabora apandishwa kizimbani Baraza la Maadili kwa matumizi mabaya ya madaraka na kutoa Tamko la uongo la mali zake.
10 years ago
Habarileo10 Sep
Yona kuanza kujitetea matumizi mabaya ya ofisi
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona leo anaanza kujitetea mahakamani dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*o1BjZKmwQRemORlPUVyPv-gvs6Pa05BP8AXDd0YzW9is1dHiVE7e-Krh4P3m-2roMuEZcY0zMZdPmjmah42EGN/1.jpg?width=650)
MKURUGENZI WA ZAMANI WA TANESCO, MKEWE WAPANDISHWA KIZIMBANI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Men6UZNCvSI/U4SeKzJZBvI/AAAAAAAFlew/EP-nRTmOyZY/s72-c/mhando1.jpg)
ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TANESCO WILLIAM MHANDO, MKEWE NA WENZAO WATATU KIZIMBANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-Men6UZNCvSI/U4SeKzJZBvI/AAAAAAAFlew/EP-nRTmOyZY/s1600/mhando1.jpg)
Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Mahakamani
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, mke wake Eva Mhando, na wenzao watatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu. Kadhalika, Mhando anakabiliwa na matumizi mabaya ya madaraka kwa kuipa zabuni Kampuni ya Santa Clara Supplies Ltd, huku akijua ana...
10 years ago
MichuziMATUMIZI MABAYA YA ARDHI TISHIO KWA UHIFADHI
Na Woinde Shizza,Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema kuwa matumizi mabaya ya ardhi yasiyozingatia mpango bora wa matumizi ya ardhi yamekua tishio kwa maeneo uhifadhi hivyo kupelekea uvamizi wa maeneo hayo na kutumiwa kwa shughuli za ufugaji na kilimo kinyume cha utaratibu.
Nyalandu amesema hayo jana wakati akihutubia mkutano wa kati ya Wizara na Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori (WMAs) uliofanyika jijini hapa,amesema kuwa...
9 years ago
StarTV10 Nov
Serikali yapiga marufuku matumizi mabaya ya mipaka kwa vyombo vya habari
Serikali imepiga marufuku matumizi mabaya ya ramani ya Tanzania kwa vyombo vya habari nchini ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa Ramani hizo mitaani.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assa Mwambene alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assa Mwambene amesema vyombo vya habari hapa nchini vimekuwa vikitumia ramani ya Tanzania isivyo sahihi ambayo inaonyesha ziwa nyasa kuwa upande wa nchi ya...
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Wafanyakazi Tanesco, Wachina kizimbani kwa tuhuma za ufisadi