Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?
Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa ufupi ni kwamba> Mara baada ya kumkamata mwendeshaji Hamisi Omary kwa kusa la kupakia mzigo mkubwa wa mbao alimwamuru kulipa faini ya shilingi elfu 30, naye Hamisi akamwomba msamaha kwa Traffic huyo kwamba ni fedha nyingi sana ambayo hawezi kuilipa kwa hata kipato anachokipata toka kwa tajiri...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDEREVA BODABODA ACHEZEA KICHAPO CHA TRAFIKI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyInJT3r6Yfi1pQ3LC0yQWpVgeebfhN315PRx2sJDr-b5YxLNQkiKY2lq90O9vFfbmNcOm1BXD9H1f2mqP6SrIQz7/KIBANO.jpg)
KIBANO! TRAFIKI WAMGUNGIA KZI DEREVA JEURI
10 years ago
GPLTRAFIKI DAR WAENDESHA ZOEZI LA KUKAMATA BODABODA ZISIZOFUATA SHERIA
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Trafiki kumi wafukuzwa kazi
JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limewafukuza kazi askari wake 10 kwa kosa la kwenda kinyume cha kanuni na sheria za jeshi hilo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
10 years ago
Mtanzania10 Oct
Trafiki watatu wafukuzwa kazi
NA RENATHA KIPAKA, BUKOBA
JESHI la Polisi mkoani Kagera limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kulifedhehesha jeshi hilo kutokana na kitendo cha kupiga picha inayowaonyesha wawili kati yao wakinyonyana ndimi wakiwa kazini.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe, alisema kitendo kilichofanywa na askari hao kimeshusha hadhi ya jeshi.
Aliwataja askari hao waliofukuzwa ni F.7788 PC Mpaji Mwasumbi, G 2122 PC Fadhili Linga na WP.8898 Veronica...
9 years ago
Habarileo11 Nov
Trafiki anayehusishwa na rushwa afukuzwa kazi
JESHI la Polisi mkoani Tanga limemfukuza kazi kwa kosa la fedheha aliyekuwa askari wake katika Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Anthony Temu (46) wa Kituo cha Polisi Kabuku wilayani Handeni.
11 years ago
Habarileo18 Jul
Trafiki 27 wafutwa kazi kwa rushwa
ASKARI 27 wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani wamefukuzwa kazi ndani ya kipindi cha miezi sita kutokana na kujihusisha na makosa ya rushwa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqLZRPj2gj-TYV26gKS*MhT9T9CcCHUWGEGPgTvkDtyesZfqxuOdGPsG4XxW*y3ArWwrTApd*ThhSdQ9ECwHmfxS/breakingnews.gif)
TRAFIKI WA PICHA YA MAHABA WATIMULIWA KAZI
9 years ago
Habarileo27 Nov
Trafiki zaidi 160 Dar wabadilishwa kazi
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewabadilisha kazi wakaguzi saba na askari wa vyeo mbalimbali 157 wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambao utendaji kazi wao umeonekana kukosa tija.