Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DEREVA BODABODA ACHEZEA KICHAPO CHA TRAFIKI

Dereva bodaboda (hakutambulika jina lake) baada ya kupokea kichapo cha askari wa usalama barabarani (nae hakutambulika jina)eneo la Vingunguti
........akionesha uso wa hudhuni baada ya kichapo. Askari wa usalama barabaranui (hayupo pichani) anadaiwa kumjeruhi dereva bodaboda eneo la vingunguti jijini dar. Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa, tukio hilo limetokea leo majira ya mchana wakati dereva huyo alipokutana na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?

Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa ufupi ni kwamba> Mara baada ya kumkamata mwendeshaji Hamisi Omary kwa kusa la kupakia mzigo mkubwa wa mbao alimwamuru kulipa faini ya shilingi elfu 30, naye Hamisi akamwomba msamaha kwa Traffic huyo kwamba ni fedha nyingi sana ambayo hawezi kuilipa kwa hata kipato anachokipata toka kwa tajiri...

 

11 years ago

GPL

VAI ACHEZEA KICHAPO

Stori: Gladness Mallya KICHAPO! Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amechezea kichapo ‘vitasa’ kutoka kwa bwana’ke aliyetajwa kwa jina la Boniface Matiku ‘Bonny’. Vai akiugulia maumivu ya kipigo hevi kutoka kwa bwana'ke. Kwa mujibu wa sosi wetu, ishu hiyo ilijiri hivi karibuni mishale ya usiku nyumbani kwa msanii huyo maeneo ya Mwananyamala-Hospitali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Cheka achezea kichapo Urusi

BONDIA Francis Cheka ‘SMG’ juzi alichezea kichapo kwa kupigwa kwa ‘KO’ raundi ya sita kutoka kwa bondia Fedor Chudinov raia wa Urusi pambano lililofanyika katika ukumbi wa Dynamo Palace of Sports, mjini Krylatskoye,...

 

10 years ago

GPL

MKE AFUMANIA, ACHEZEA KICHAPO!

Mashaka kisusi
NDANI ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, mama mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, mkazi wa maeneo ya stendi, wilayani Misungwi mkoani Mwanza anadaiwa kuchezea kichapo kutoka kwa mumewe baada ya kumfumania akiwa na kimada, Risasi Jumamosi linatiririka. Akivuja damu baada ya kuminyiwa kichapo. Tukio hilo lililowaacha watu midomo wazi lilijiri mwanzoni mwa wiki hii ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, awali...

 

11 years ago

GPL

AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO

MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni alijikuta akichezea kichapo kutoka kwa mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Amani baada ya kutaka kwenda klabu usiku bila kumtaarifu. Msanii wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ akipozi. Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo walimsikia msanii huyo akipiga mayowe na walipotoka walimuona...

 

11 years ago

GPL

ACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUIBA

Kibaka akisalimisha vitu alivyokwapua.
Akijitetea asamehewe.
Akijutia kwa kitendo alichokifanya.…

 

10 years ago

GPL

ATAPELI KWA KUTUMIA DOLA ZA MAREKANI, ACHEZEA KICHAPO

Stori: Saimeni Mgalula, Mbeya
MAKUBWA! Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, mkazi wa Mji wa Tunduma, Wilaya ya Momba mkoani Mbeya, amechezea kipigo cha ‘kufa mtu’ kufuatia madai ya kutaka kumwibia kwa kutumia dola za Kimarekani mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Anna. Akiwa mikononi mwa polisi. Tukio hilo la aina yake, lilijiri muda wa asubuhi, hivi karibuni maeneo ya Kisimani katika...

 

10 years ago

GPL

NJEMBA ACHEZEA KICHAPO: KISA UKUWADI KWA MKE WA MTU!

Stori:  Issa Mnally
Adabu ishike mkondo wake! Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jose amejikuta akichezea kichapo ‘hevi’ kilichomsababishia kuvunjika pua kwa tuhuma ya ukuwadi wa mke wa mtu, Ijumaa Wikienda lilikuwepo eneo la tukio. Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jose akivuja damu baada ya kipigo. Msala huo wa aina yake ambao ulivuta umati mkubwa ulijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Makumbusho jijini Dar...

 

11 years ago

Mwananchi

Kifo cha mke wa askari aliyefia kwa dereva wa bodaboda utata

>Wingu zito limegubika kifo cha mke wa askari polisi wa wilayani Mwanga, Kilimanjaro aliyefia chumbani kwa dereva wa bodaboda. Uchunguzi wa awali wa polisi unadai kuwa mwanamke huyo alilala chumbani huko usiku mzima wa kuamkia Jumapili, siku ambayo maiti yake iligunduliwa saa 12 jioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani