MKE AFUMANIA, ACHEZEA KICHAPO!
![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcJofAAORbv-pCJ-mpuZu7s88WAweP2tp3RwZ0jb9zfsohuEg7Aa9u*NUDYXDrP8K*80hFpxZE-vrDyhQSIaG3ua/BACKJUMAMOSI.gif?width=650)
Mashaka kisusi NDANI ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, mama mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, mkazi wa maeneo ya stendi, wilayani Misungwi mkoani Mwanza anadaiwa kuchezea kichapo kutoka kwa mumewe baada ya kumfumania akiwa na kimada, Risasi Jumamosi linatiririka. Akivuja damu baada ya kuminyiwa kichapo. Tukio hilo lililowaacha watu midomo wazi lilijiri mwanzoni mwa wiki hii ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, awali...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOqE4UarTE84GzH7CpXCuqRFqMMEjCQh9Bueg-a7Hp3OmJLnb4rtq7Q2kPhIiK9UDs97Ixid8yVwFHBXvoY0hLoo/ukwad.jpg)
NJEMBA ACHEZEA KICHAPO: KISA UKUWADI KWA MKE WA MTU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i41PO2l4KKXXoBBzJewILeB0j3TxB33hT6GZwV8vKT5x4rE*HboIW7JeFnfG8IBWcUyOzxoGol*CByAhOoCByL87EOyVb7Qv/BACKJmooo001.jpg)
AIBU KUBWA! MUUZA GENGE ACHEZEA KICHAPO KWA KUNASWA NA MKE WA MTU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRASHiyYvlEFM8kpoh1kd0BQbmHWHGhsudsABNgHDpDM3D1oQo2tvEQheQRPfnh6KbZDlDNX7TXG*k3-ykiVQs-wd/vai.jpg?width=650)
VAI ACHEZEA KICHAPO
11 years ago
GPLACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUIBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PK5dk0PN1DUUbERqne81EHmMc2hCgGnEuRZ57hrxwbdsGkaI-D-04ffhjR5lZ88fS40D3HoJB*8Euj-AHnKF0Y1/lulu.jpg?width=650)
AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Cheka achezea kichapo Urusi
BONDIA Francis Cheka ‘SMG’ juzi alichezea kichapo kwa kupigwa kwa ‘KO’ raundi ya sita kutoka kwa bondia Fedor Chudinov raia wa Urusi pambano lililofanyika katika ukumbi wa Dynamo Palace of Sports, mjini Krylatskoye,...
11 years ago
GPLDEREVA BODABODA ACHEZEA KICHAPO CHA TRAFIKI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vAqZ6B7r8QfmOJ6rnzj6Rc00qdlWJdr6NoOpZF5UUF2YKeV5qpkADFetCByV-K2e2nvvJb-6mojckVEgvfUhCCb/Tapeli.jpg)
ATAPELI KWA KUTUMIA DOLA ZA MAREKANI, ACHEZEA KICHAPO
10 years ago
Bongo Movies26 Dec
TETESI:Patcho Mwamba Apokea Kichapo Kizito Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu
Inasemekana kuwa mwigizaji na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi kumvimbisha uso kama unavyomuona hapo juu, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.
Habari hizi zinaenea kwa kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi juu ya kinanani ,na wapi hasa tukilo hilimetokea,japokuwa inasemekanai ni siku ya krismas (jana) .Hadi sasa sio Patcho mwenyewe au watu wake wakaribu hawajajitokeza kukanusha taarifa hizi.