Trafiki anayehusishwa na rushwa afukuzwa kazi
JESHI la Polisi mkoani Tanga limemfukuza kazi kwa kosa la fedheha aliyekuwa askari wake katika Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Anthony Temu (46) wa Kituo cha Polisi Kabuku wilayani Handeni.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV11 Nov
Askari usalama barabarani afukuzwa kazi kwa Rushwa
Jeshi la Polisi limemfukuza kazi askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Tanga Coplo Anthon Temu mwenye namba F785 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Zuberi Mwombeji amesema tukio hilo limetokea Novemba 9 mwaka huu majira ya saa 7:30 mchana katika barabara kuu ya Chalinze-Segera.
Akizungumza na wanahabri ofisini kwake kamanda wa polisi mkoa wa Tanga Zuberi Mwombeji amesema kupitia mitandao ya kijamii askari huyo alionekana akipokea rushwa kutoka...
11 years ago
Habarileo18 Jul
Trafiki 27 wafutwa kazi kwa rushwa
ASKARI 27 wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani wamefukuzwa kazi ndani ya kipindi cha miezi sita kutokana na kujihusisha na makosa ya rushwa.
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?
![](http://2.bp.blogspot.com/-dUXEP5ngMBY/VmvKAQeYLuI/AAAAAAABUYI/cJroCRIVUG4/s640/TRAFIKI%2BAJALI%2B%25285%2529.jpg)
11 years ago
Mwananchi06 Jan
‘Trafiki wala rushwa Pwani kukiona’
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Trafiki wala rushwa kukiona watadhibitiwa
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Trafiki wala rushwa sasa kusota njaa
10 years ago
Habarileo15 Nov
Mgomo wa magari watikisa Bukoba, kisa rushwa trafiki
WAMILIKI wa magari yanayofanya ruti za Bukoba na wilaya nyingine na madereva, wameendelea kugoma wakishinikiza Serikali ikutane nao.
11 years ago
Habarileo20 Dec
Mpinga aonya rushwa kwa trafiki msimu wa sikukuu
JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limewaonya askari wake nchini kote kujihadhari dhidi ya vitendo vya rushwa hususani wakati huu ambapo wananchi wengi wanasafiri kuelekea katika mikoa mbalimbali kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
11 years ago
Michuzi29 Apr
ASKARI TRAFIKI SITA WAPENDA RUSHWA MBEYA WATIMULIWA
Mbeya SACP Ahmed Msangi
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limewafukuza kazi Askari sita wa kikosi cha Usalama barabarani Wilaya za Rungwe na Mbeya kwa tuhuma za kuomba,kushawishi na kupokea rushwa. Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya SACP Ahmed Msangi amewatataja Askari hao kuwa ni pamoja na waliokuwa wakifanya kazi wilaya ya Mbeya barabara ya Mbeya/Tunduma eneo la Songwe ni Koplo Jonson,PC Rymond na PC Simon. Msangi amewataja wengine kuwa ni pamoja Sajini Hezron,PC...