Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASKARI TRAFIKI SITA WAPENDA RUSHWA MBEYA WATIMULIWA

Kamanda wa Polisi  Mkoani
Mbeya  SACP Ahmed Msangi
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limewafukuza kazi Askari sita  wa kikosi cha Usalama barabarani  Wilaya za Rungwe na Mbeya kwa tuhuma za kuomba,kushawishi na kupokea rushwa. Kamanda wa Polisi  Mkoani Mbeya  SACP Ahmed Msangi amewatataja Askari hao kuwa ni pamoja na waliokuwa wakifanya kazi wilaya ya Mbeya barabara ya Mbeya/Tunduma eneo la Songwe ni Koplo  Jonson,PC Rymond na PC Simon. Msangi amewataja wengine kuwa ni pamoja Sajini Hezron,PC...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TRAFIKI WA PICHA YA MAHABA WATIMULIWA KAZI

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioachishwa kazi. ASKARI wa Kikosi cha Usalama Barabarani waliopiga picha ya mahaba wakibusiana huku wakiwa wamevaa sare za Jeshi la Polisi na picha yao ikasambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii wamefukuzwa kazi.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Askari wanafunzi 212 watimuliwa

WANAFUNZI 212 wa mafunzo ya awali ya uaskari katika Chuo cha Taaluma ya Polisi mjini Moshi (MPA), wamefukuzwa baada ya kufanya udanganyifu katika vyeti vyao vya elimu na kubainika kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wauguzi ‘vihiyo’ sita watimuliwa Mara

SERIKALI mkoani Mara imewatimua kazi wauguzi ‘vihiyo’ sita waliobainika kuwa na vyeti vya kughushi. Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara, Balthazar Kichimba, amethibitisha tukio hilo, wakati akihojiwa na Tanzania...

 

11 years ago

Mwananchi

Askari waliopiga picha wakipigana busu watimuliwa

Askari polisi watatu wamefukuzwa kazi mkoani Kagera kwa tuhuma za kupiga picha zinazokiuka maadili ya kazi yao na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii jambo linalodaiwa kulidhalilisha jeshi hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Trafiki wala rushwa Pwani kukiona’

>Jeshi la Polisi mkoani Pwani, limeweka bayana kuwa kamwe halitasita kuwachukulia hatua kali na za kisheria askari wake wa usalama barabarani itakapopata taarifa za uhakika za wao kuhusika na matukio yanayokiuka maadili ya jeshi hilo ikiwemo vitendo vya rushwa.

 

11 years ago

Habarileo

Trafiki 27 wafutwa kazi kwa rushwa

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Taifa, Mohamed MpingaASKARI 27 wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani wamefukuzwa kazi ndani ya kipindi cha miezi sita kutokana na kujihusisha na makosa ya rushwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Trafiki wala rushwa kukiona watadhibitiwa

Askari wa Usalama barabarani wametakiwa kuhakikisha wanajisafisha na lawama za rushwa zinazofedhehesha na kulichafua Jeshi la Polisi.

 

9 years ago

Habarileo

Trafiki anayehusishwa na rushwa afukuzwa kazi

JESHI la Polisi mkoani Tanga limemfukuza kazi kwa kosa la fedheha aliyekuwa askari wake katika Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Anthony Temu (46) wa Kituo cha Polisi Kabuku wilayani Handeni.

 

11 years ago

Mwananchi

Trafiki wala rushwa sasa kusota njaa

Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani nchini, kina mpango wa kuanzisha utaratibu mpya wa kulipa faini zote za makosa ya barabarani kupitia benki na mitandao ya simu za mkononi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani