Askari waliopiga picha wakipigana busu watimuliwa
Askari polisi watatu wamefukuzwa kazi mkoani Kagera kwa tuhuma za kupiga picha zinazokiuka maadili ya kazi yao na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii jambo linalodaiwa kulidhalilisha jeshi hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Polisi waliopiga picha za mahaba watimuliwa
JESHI la Polisi Mkoa wa Kagera, limewafukuza kazi askari watatu wa Kikosi cha Usalama barabarani ‘Trafiki’ kwa kukosa la kupiga picha zisizo na maadili wakiwa na sare za kazi. Picha...
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Polisi waliopiga picha za mahaba watimuliwa kazi
Hili ndio tukio lililosababisha kufukuzwa kazi wakiwa na sare za kazi.
Na Mwandishi wetu, Kagera
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera, limewafukuza kazi askari watatu wa Kikosi cha Usalama barabarani ‘Trafiki’ kwa kukosa la kupiga picha zisizo na maadili wakiwa na sare za kazi.
Picha hiyo ilianza kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii hivi karibuni zikionyesha askari hao wakiwa katika ‘mahaba’ huku wamevaa sare za Jeshi hilo.
Akitoa taarifa mbele ya wandishi wa habari mapema jana Oktoba...
10 years ago
GPLDOKII AMPA ASKARI RUSHWA YA BUSU
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Askari wanafunzi 212 watimuliwa
WANAFUNZI 212 wa mafunzo ya awali ya uaskari katika Chuo cha Taaluma ya Polisi mjini Moshi (MPA), wamefukuzwa baada ya kufanya udanganyifu katika vyeti vyao vya elimu na kubainika kuwa...
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Waliopiga picha za uchi mlimani washtakiwa
11 years ago
Michuzi29 Apr
ASKARI TRAFIKI SITA WAPENDA RUSHWA MBEYA WATIMULIWA
Mbeya SACP Ahmed Msangi
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limewafukuza kazi Askari sita wa kikosi cha Usalama barabarani Wilaya za Rungwe na Mbeya kwa tuhuma za kuomba,kushawishi na kupokea rushwa. Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya SACP Ahmed Msangi amewatataja Askari hao kuwa ni pamoja na waliokuwa wakifanya kazi wilaya ya Mbeya barabara ya Mbeya/Tunduma eneo la Songwe ni Koplo Jonson,PC Rymond na PC Simon. Msangi amewataja wengine kuwa ni pamoja Sajini Hezron,PC...
10 years ago
GPLTRAFIKI WA PICHA YA MAHABA WATIMULIWA KAZI
10 years ago
Habarileo10 Oct
Picha ya mahaba yaponza Polisi 3, watimuliwa
ASKARI Polisi wawili ambao picha yao ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii wiki hii katika mkao wa uhusiano wa kimapenzi, wamefukuzwa kazi. Picha hiyo ilionesha askari hao wa Kikosi cha Usalama Barabarani wakiwa kwenye sare za jeshi hilo huku mwanamume akiwa amempakata wa kike wakipigana busu.
10 years ago
BBCSwahili29 Aug
NATO yaonyesha picha za askari wa Urusi