DOKII AMPA ASKARI RUSHWA YA BUSU
![](http://api.ning.com:80/files/JnNsxgX9lA0ULpr*v4LdTVCj0reSJ3lHf3P289SfaCMpMVEI3clzzMoMIbuIeK2X91dPs7*zG0eSeivVwD87kQ-fpd1Xiu5U/doki.jpg)
Stori: Sifael Paul MAKUBWA, madogo yana nafuu! Mwigizaji wa kitambo na mwimbaji wa muziki wa Kizazi Kipya, Ummy Wenslaus 'Dokii' anadaiwa kutoa kali ya karne baada ya kumpa askari wa jiji rushwa ya busu, Ijumaa lina mkanda kamili. Mwigizaji wa kitambo na mwimbaji wa muziki wa Kizazi Kipya, Ummy Wenslaus 'Dokii' akiomba ruksa ya kusepa na gari kutoka kwa askari wa jiji (city parking). Tukio hilo ambalo gazeti hili lina...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Askari waliopiga picha wakipigana busu watimuliwa
11 years ago
Michuzi29 Apr
ASKARI TRAFIKI SITA WAPENDA RUSHWA MBEYA WATIMULIWA
Mbeya SACP Ahmed Msangi
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limewafukuza kazi Askari sita wa kikosi cha Usalama barabarani Wilaya za Rungwe na Mbeya kwa tuhuma za kuomba,kushawishi na kupokea rushwa. Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya SACP Ahmed Msangi amewatataja Askari hao kuwa ni pamoja na waliokuwa wakifanya kazi wilaya ya Mbeya barabara ya Mbeya/Tunduma eneo la Songwe ni Koplo Jonson,PC Rymond na PC Simon. Msangi amewataja wengine kuwa ni pamoja Sajini Hezron,PC...
9 years ago
StarTV11 Nov
Askari usalama barabarani afukuzwa kazi kwa Rushwa
Jeshi la Polisi limemfukuza kazi askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Tanga Coplo Anthon Temu mwenye namba F785 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Zuberi Mwombeji amesema tukio hilo limetokea Novemba 9 mwaka huu majira ya saa 7:30 mchana katika barabara kuu ya Chalinze-Segera.
Akizungumza na wanahabri ofisini kwake kamanda wa polisi mkoa wa Tanga Zuberi Mwombeji amesema kupitia mitandao ya kijamii askari huyo alionekana akipokea rushwa kutoka...
9 years ago
Bongo Movies15 Nov
Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi
KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.
“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZGGCrW1JrgjjBELhXhhdwKHmRNfs7Zp3UXDd4hT5yA2sUo*Y14u4RsTPUmXwcJwOTaU7bc45gig6hBtddI1O7dHB7IjMPGKT/2.jpg)
DOKII AJIWEKA KWA KOCHA WA YANGA
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Mashabiki Simba wamfukuza Dokii jukwaani
MSANII wa muziki na filamu, Ummy Wenceslaus, maarufu kama Dokii juzi alipata wakati mgumu kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Azam baada ya kufukuzwa na mashabiki wa Simba kwenye jukwaa lao.
Dokii ambae ni miongoni mwa wasanii wa kike ambao ni mashabiki wakubwa wa mchezo wa soka, kabla ya kuanza kuishabikia Azam alikua shabiki wa Yanga.
Msanii huyo alifika Uwanjani hapo na mwenzake wakiwa na gitaa, walitaka kukaa upande wa mashabiki wa Simba ambao walimtaka ahame eneo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/po*b5pjX*enUW8mbMyqmnyOJZ4PQteRetaCGhXcKqaNHRuub4gEOjihfxLHAbZexFGTtSlnwmtV*EdzNhHtgGHBcPpfqk-CF/lucy.jpg)
DOKII AMZAWADIA KIWANJA LUCY KOMBA
10 years ago
GPL![](https://jackzcosmetics.files.wordpress.com/2011/03/dar-es-salaam-20110223-00594.jpg?width=650)
DOKII ASAKA PUMZIKO LA MOYO 2015
10 years ago
Michuzi01 Dec