DOKII AMZAWADIA KIWANJA LUCY KOMBA
![](http://api.ning.com:80/files/po*b5pjX*enUW8mbMyqmnyOJZ4PQteRetaCGhXcKqaNHRuub4gEOjihfxLHAbZexFGTtSlnwmtV*EdzNhHtgGHBcPpfqk-CF/lucy.jpg)
Stori: Imelda Mtema Msanii wa filamu na muziki, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’ ambaye pesa imemtembelea ameonyesha kuwa na ushoga uliopitiliza na msanii mwenzake Lucy Komba baada ya kumzawadia kiwanja kwenye kicheni pati yake iliyofanyika hivi karibuni. Msanii wa filamu na muziki, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’. Dokii akiwa mmoja wa mastaa waliopamba vyema sherehe hiyo iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Makumbusho ya...
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania