LUCY KOMBA: NIACHENI NIDENDEKE NA MZUNGU
Na Mwandishi Wetu MSANII wa filamu za Kibongo, Lucy Komba amefunguka aachwe adendeke hadharani na mpenzi wake Mzungu Janus kwani ni mtu mwenye malengo naye. Msanii wa filamu za Kibongo, Lucy Komba akiwa na mchumba wake aliyetambulika kwa jina la Janus. Akizungumza na mwandishi wetu mara baada ya kuhojiwa juu ya picha zilizozagaa mitandaoni, Lucy alisema kuwa picha hizo alizipiga akiwa na mchumba wake huyo kwa hiari yake....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLLUCY KOMBA AGOMA KUMZALIA MZUNGU WAKE!
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Lucy Komba na Mzungu wake kuoana Septemba
UVUMI kwamba mwigizaji Lucy Komba kuwa katika mahusiano na mzungu kutoka nchini Denmark, zimedhihirika kuwa ni kweli baada ya wawili hao kupanga kufunga ndoa Septemba mwaka huu. Lucy, muongozaji, mtunzi...
10 years ago
Bongo Movies23 Dec
Lucy Komba Ampelekea Mzungu Mwanaye Amlee
Mwigizaji mkongwe wa filamu za kibongo ambaye miezi michache iliyopita alifunga pingu za maisha na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Lucy Komba amekwea pipa kuelekea nchini humo kwenda kuishi na mumewe Janus, sambamba na kumpelekea mwanaye amlee.
Akipiga stori na paparazi wa GPL kupitia Mtandao wa WhatsApp akiwa nchini Denmark, Lucy alisema aliamua kuondoka kimyakimya na kumfuata mumewe kwa kuwa alimisi mambo mengi kwake, pia suala la ndoa halimuhitaji aishi mbali na mumewe na kwa kuwa...
11 years ago
GPLNDOA YA LUCY KOMBA MIZENGWE
10 years ago
GPLNDOA YA LUCY KOMBA MIKOSI 3
11 years ago
GPLLUCY KOMBA ATENGWA BONGO MOVIE
11 years ago
GPLLUCY KOMBA: MIMI NI ZAO LA TYSON
11 years ago
GPLLUCY KOMBA ANASWA NA PETE YA UCHUMBA
10 years ago
GPLKICHENI PATI YA LUCY KOMBA MSHANGAO!