LUCY KOMBA: MIMI NI ZAO LA TYSON
![](http://api.ning.com:80/files/w9JIhnUgjg-47Wb6wnpqauvPTXWWS0nxZt1yzaBFdx183zJO7IqT04V-gqvT8IdmGsp5wvpZ0UlHpz*90fKsRE5ErOfah5VN/lucy.jpg)
Stori: shani ramadhani MSANII nguli katika soko la filamu Bongo, Lucy Francis Komba amefunguka kuwa yeye ni zao mojawapo la hayati George Otieno Okumu ‘Tyson’. Msanii nguli katika soko la filamu Bongo, Lucy Francis Komba “Mimi ni zao la Tyson, nimeanzia katika mchezo wa maigizo wa Mambo hayo uliokuwa ukirushwa katika Kituo cha Runinga cha ITV na ndiyo ukawa mwanzo wangu kujulikana, asingekuwa yeye sijui...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHGyNSEW0ZEsIibvlNKLUXO-eDWPkqbg7byRZv92AoLAFowR-kYcgIhn*5onmdxh5ks0JIISkg2xF5SaeUPNDkp/BACKAMANI.jpg)
NDOA YA LUCY KOMBA MIZENGWE
Stori: Gladness Mallya
HUKU akiwa kwenye vikao vya maandalizi ya harusi na Mzungu, staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba (pichani na mchumba wake), amejikuta katika wakati mgumu baada ya habari kudai kwamba, mchumba wake huyo amemwambia ili ndoa ifungwe lazima aoneshe cheti cha kipimo cha Ukimwi kwanza. Staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba akiwa na mchumba wake. Chanzo chetu cha habari kikizungumza na Amani juzi,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nd24W9ECLPOXF*VFLZM20sRL3CmXW2HDwL2o09s-K1Jst9X2mb0YoPRohMqGxxN*Co3b6U3HvzLccpJ4YvflV85wwGkR4OK1/lucy.jpg)
NDOA YA LUCY KOMBA MIKOSI 3
Stori: Gladness Mallya na Mayasa Mariwata
ILE ndoa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu ya nyota wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba na mzungu wake raia wa Denmark anayejulikana kwa jina moja la Janus hatimaye imefungwa na kutawaliwa na matukio yenye mikosi kibao. Nyota wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba na mzungu wake raia wa Denmark anayejulikana kwa jina moja la Janus wakiwa ni wenye furaha wakati wa harusi yao. Ndoa hiyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGZPNrD1HF1fXHLZ73hLmqvLnfcZaSVXaaV6eO9hD*f5AfuqAOjakw2YFQ0TVczYVJjDqpPsh-vJbQSsvsFSQ3bH/1.jpg?width=650)
LUCY KOMBA ATENGWA BONGO MOVIE
Stori: Mayasa Mariwata STAAwa sinema za Kibongo, Lucy Komba, amedaiwa kutengwa na wasanii wenzake wa Klabu ya Bongo Movie kwa kosa la kuwatolea lugha za kejeli. Staa wa sinema za Kibongo, Lucy Komba, Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, Bongo Movie wamemsusia msanii huyo katika vikao vya harusi yake kwa madai kuwa aliwahi kuwaponda kwenye vyombo vya habari kuwa klabu hiyo si chochote kwake. Alipotafutwa na paparazi wetu, Lucy...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NRpz*rV1U-ux0uZwioODkLn-kdBWSLy6izUPtRbVr5NetkXv0sCQQCTG7SK6iFuVuR9WEJbIwVEa7OyFftVMZVUEzbPOLXKE/lucy.jpg)
LUCY KOMBA: NIMEISHI NA MR. WIKI MBILI TU!
NaGladness Mallya
MSANII mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Lucy Komba amefunguka kwamba baada ya kufunga ndoa hivi karibuni ameishi na mumewe Janus kwa wiki mbili tu. Msanii mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Lucy Komba akiwa na mume wake mumewe Janus. Akizungumza na paparazi wetu, Lucy alisema kwa sasa amebaki Bongo peke yake ikiwa ni baada ya mumewe kwenda kwao Denmark ambapo alitakiwa kurudi kazini lakini bado...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/po*b5pjX*enUW8mbMyqmnyOJZ4PQteRetaCGhXcKqaNHRuub4gEOjihfxLHAbZexFGTtSlnwmtV*EdzNhHtgGHBcPpfqk-CF/lucy.jpg)
DOKII AMZAWADIA KIWANJA LUCY KOMBA
Stori: Imelda Mtema
Msanii wa filamu na muziki, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’ ambaye pesa imemtembelea ameonyesha kuwa na ushoga uliopitiliza na msanii mwenzake Lucy Komba baada ya kumzawadia kiwanja kwenye kicheni pati yake iliyofanyika hivi karibuni. Msanii wa filamu na muziki, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’. Dokii akiwa mmoja wa mastaa waliopamba vyema sherehe hiyo iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Makumbusho ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwGUJwIoEK9JWuYzlzq9IwqFSwlm*RBNbPBELeKO9kX51oqreOcviI3*EQiPWLepflkbV62JRsuk2UxGWjV5qyQH/kichen.jpg)
KICHENI PATI YA LUCY KOMBA MSHANGAO!
Stori: Imelda Mtema
NI mshangao! Sherehe ya kicheni pati ya staa wa filamu Bongo, Lucy Komba imewashangaza waalikwa wengi baada ya kutawaliwa na vitu vingi vya kiasili tofauti na matarajio ya wengi. Staa wa filamu Bongo, Lucy Komba. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta jijini Dar ambapo mbali na watu wa kawaida, wake wa viongozi mbalimbali nchini pamoja na baadhi ya...
11 years ago
GPLLUCY KOMBA: NIACHENI NIDENDEKE NA MZUNGU
Na Mwandishi Wetu
MSANII wa filamu za Kibongo, Lucy Komba amefunguka aachwe adendeke hadharani na mpenzi wake Mzungu Janus kwani ni mtu mwenye malengo naye. Msanii wa filamu za Kibongo, Lucy Komba akiwa na mchumba wake aliyetambulika kwa jina la Janus. Akizungumza na mwandishi wetu mara baada ya kuhojiwa juu ya picha zilizozagaa mitandaoni, Lucy alisema kuwa picha hizo alizipiga akiwa na mchumba wake huyo kwa hiari yake....
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2Zt5PTB*9R-dmR4hI*XrpxrM2VG2qtUTC3SKTBVyfDx1zGbgaad0UxiK2Xck0altHlHAiZxyAHjvz5sHx8X0JA/lucykomba.jpg)
LUCY KOMBA ANASWA NA PETE YA UCHUMBA
Stori:Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba hivi karibuni amenaswa akiwa amevaa pete ya uchumba huku tetesi zilizopo zikidai kuwa anatarajia kufunga ndoa na ‘mtu’ wake ambaye si raia wa Tanzania. Msanii wa filamu Bongo, Lucy Komba hivi karibuni amenaswa akiwa amevaa pete ya uchumba huku tetesi zilizopo zikidai kuwa anatarajia kufunga ndoa Lucy alipigwa chapo akiwa na pete hiyo kwenye msiba wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz63-Cog3e-PKCWh1zNn5v7jiMbRmCqzCSoz6Y4KZhjDiitOi4UbvugIJj*XjpMQHwlyLdoP767qwI8rce1vlj9U7/lucyi.jpg)
LUCY KOMBA: MAPENZI YA WABONGO WIZI MTUPU
Stori: Imelda Mtema MAKAVU! Msanii aliyefunga pingu za maisha juzikati na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Janus Stanley Landrock, Lucy Komba amesema kadri siku zinavyozidi kwenda anazidi kunogewa na mapenzi ya mzungu wake na kuwaona Wabongo si lolote kutokana na kuwa waongo. Msanii wa Bongo Muvi , Lucy Komba akiwa na mume wake mdenmark, Janus Stanley… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania