LUCY KOMBA: NIMEISHI NA MR. WIKI MBILI TU!
NaGladness Mallya MSANII mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Lucy Komba amefunguka kwamba baada ya kufunga ndoa hivi karibuni ameishi na mumewe Janus kwa wiki mbili tu. Msanii mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Lucy Komba akiwa na mume wake mumewe Janus. Akizungumza na paparazi wetu, Lucy alisema kwa sasa amebaki Bongo peke yake ikiwa ni baada ya mumewe kwenda kwao Denmark ambapo alitakiwa kurudi kazini lakini bado...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLNDOA YA LUCY KOMBA MIKOSI 3
11 years ago
GPLNDOA YA LUCY KOMBA MIZENGWE
11 years ago
GPLLUCY KOMBA: NIACHENI NIDENDEKE NA MZUNGU
11 years ago
GPLLUCY KOMBA ATENGWA BONGO MOVIE
10 years ago
GPLKICHENI PATI YA LUCY KOMBA MSHANGAO!
11 years ago
GPLLUCY KOMBA ANASWA NA PETE YA UCHUMBA
11 years ago
GPLLUCY KOMBA: MIMI NI ZAO LA TYSON
10 years ago
GPLDOKII AMZAWADIA KIWANJA LUCY KOMBA
10 years ago
Bongo Movies23 Dec
Lucy Komba Ampelekea Mzungu Mwanaye Amlee
Mwigizaji mkongwe wa filamu za kibongo ambaye miezi michache iliyopita alifunga pingu za maisha na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Lucy Komba amekwea pipa kuelekea nchini humo kwenda kuishi na mumewe Janus, sambamba na kumpelekea mwanaye amlee.
Akipiga stori na paparazi wa GPL kupitia Mtandao wa WhatsApp akiwa nchini Denmark, Lucy alisema aliamua kuondoka kimyakimya na kumfuata mumewe kwa kuwa alimisi mambo mengi kwake, pia suala la ndoa halimuhitaji aishi mbali na mumewe na kwa kuwa...