NDOA YA LUCY KOMBA MIZENGWE

Stori: Gladness Mallya HUKU akiwa kwenye vikao vya maandalizi ya harusi na Mzungu, staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba (pichani na mchumba wake), amejikuta katika wakati mgumu baada ya habari kudai kwamba, mchumba wake huyo amemwambia ili ndoa ifungwe lazima aoneshe cheti cha kipimo cha Ukimwi kwanza. Staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba akiwa na mchumba wake. Chanzo chetu cha habari kikizungumza na Amani juzi,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
NDOA YA LUCY KOMBA MIKOSI 3
11 years ago
GPL
WASTARA AMPA SOMO LA NDOA LUCY KOMBA
10 years ago
GPL
LUCY KOMBA ANYOA RASTA KISA NDOA
11 years ago
Bongo Movies09 Sep
Mwigizaji mkongwe nchini Lucy Komba afunga ndoa. Tazama picha za harusi
Hatimaye yule mwigizaji mkongwe nchini Lucy komba amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi aishie nchini Denmark aliyefahamika kwa jina la Stanley,. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii nchini lucy ameandika
"..Asante Mungu kwa siku hii nzuri na muhimu sana katika maisha yangu, wengi hawakutaka nifikie siku hii, kunawengine walinuna, kunawengine waliniombea mabaya, kuna wengine walichukia na wengine waliambiana wanichunie walifikiri bila wao Mungu hawezi kuifanikisha siku...
11 years ago
GPLLUCY KOMBA: NIACHENI NIDENDEKE NA MZUNGU
11 years ago
GPL
DOKII AMZAWADIA KIWANJA LUCY KOMBA
11 years ago
GPL
LUCY KOMBA ATENGWA BONGO MOVIE
11 years ago
GPL
KICHENI PATI YA LUCY KOMBA MSHANGAO!
11 years ago
GPL
LUCY KOMBA: NIMEISHI NA MR. WIKI MBILI TU!