Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA AMPA SOMO LA NDOA LUCY KOMBA

Stori Na: Gladness Mallya
SIKU chache baada ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Lucy Komba kuolewa, msanii mwenzake, Wastara Juma ameibuka na kumpa somo la ndoa huku akimtaka kuwa mvumilivu na msiri katika maisha hayo mapya. Staa wa filamu za Kibongo,Wastara Juma. Akistorisha na paparazi wetu, Wastara alisema maisha ya ndoa yanahitaji uvumilivu na usiri mkubwa hivyo Lucy anatakiwa kuzingatia hayo kwani ndiyo siri ya kudumu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA AMPA BOZI MAKAVU LIVE

Mayasa Maliwata STAA wa filamu Bongo, Lucy Komba ameamua kumpa makavu laivu msanii asiyeishiwa vioja, Fatuma Ayubu `Bozi’ anayetajwa kuwa na orodha kubwa ya mastaa aliobanjuka nao kwa kumtaka akumbuke kutumia kinga ama kutulia na bwana mmoja.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1IRCCfq

 

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA AMPA MUMEWE SHARTI LA KUZAA NAYE

Stori: Imelda Mtema
SIKU chache baada ya kufunga ndoa, mwigizaji Lucy Komba amempa sharti mumewe ambaye ni raia wa Dernmark, Janus Stanley Landrock kwamba hatozaa naye hadi atakapokamilisha suala la uraia wake. Mwigizaji Lucy Komba akipozi. Akizungumza na paparazi wetu, Lucy alisema amemwambia mumewe akamilishe taratibu zote za nchini kwao ili yeye awe na uhalali wa kuishi nchini humo ndipo wazae watoto. “Unajua napenda...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA LUCY KOMBA MIKOSI 3

Stori: Gladness Mallya na Mayasa Mariwata
ILE ndoa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu ya nyota wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba na mzungu wake raia wa Denmark anayejulikana kwa jina moja la Janus hatimaye imefungwa na kutawaliwa na matukio yenye mikosi kibao. Nyota wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba na mzungu wake raia wa Denmark anayejulikana kwa jina moja la Janus wakiwa ni wenye furaha wakati wa harusi yao. Ndoa hiyo...

 

11 years ago

GPL

NDOA YA LUCY KOMBA MIZENGWE

Stori: Gladness Mallya
HUKU akiwa kwenye vikao vya maandalizi ya harusi na Mzungu, staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba (pichani na mchumba wake), amejikuta katika wakati mgumu baada ya habari kudai kwamba, mchumba wake huyo amemwambia ili ndoa ifungwe lazima aoneshe cheti cha kipimo cha Ukimwi kwanza. Staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba akiwa na mchumba wake. Chanzo chetu cha habari kikizungumza na Amani juzi,...

 

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA ANYOA RASTA KISA NDOA

Stori: Na Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lucy Komba ambaye hivi karibuni alifunga ndoa na Janus Stanley, raia wa Denmark, amesema kuwa ameamua kunyoa rasta zake alizozifuga kwa muda mrefu kwa kile alichodai matakwa ya ndoa. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Lucy Komba. Akizungumza na mwandishi wetu, Lucy alisema kuwa ameamua kunyoa nywele zake hizo kwa kuwa anaona ni mke wa mtu anatakiwa kubadilika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mwigizaji mkongwe nchini Lucy Komba afunga ndoa. Tazama picha za harusi

Hatimaye yule mwigizaji mkongwe nchini Lucy komba amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi aishie nchini Denmark aliyefahamika kwa jina la Stanley,. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii nchini lucy ameandika

"..Asante Mungu kwa siku hii nzuri na muhimu sana katika maisha yangu, wengi hawakutaka nifikie siku hii, kunawengine walinuna, kunawengine waliniombea mabaya, kuna wengine walichukia na wengine waliambiana wanichunie walifikiri bila wao Mungu hawezi kuifanikisha siku...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi

KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.

“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...

 

10 years ago

GPL

DOKII AMZAWADIA KIWANJA LUCY KOMBA

Stori: Imelda Mtema
Msanii wa filamu na muziki, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’ ambaye pesa imemtembelea ameonyesha kuwa na ushoga uliopitiliza na msanii mwenzake Lucy Komba baada ya kumzawadia kiwanja kwenye kicheni pati yake iliyofanyika hivi karibuni. Msanii wa filamu na muziki, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’. Dokii akiwa mmoja wa mastaa waliopamba vyema sherehe hiyo iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Makumbusho ya...

 

11 years ago

GPL

LUCY KOMBA ATENGWA BONGO MOVIE

Stori: Mayasa Mariwata STAAwa sinema za Kibongo, Lucy Komba, amedaiwa kutengwa na wasanii wenzake wa Klabu ya Bongo Movie kwa kosa la kuwatolea lugha za kejeli. Staa wa sinema za Kibongo, Lucy Komba, Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, Bongo Movie wamemsusia msanii huyo katika vikao vya harusi yake kwa madai kuwa aliwahi kuwaponda kwenye vyombo vya habari kuwa klabu hiyo si chochote kwake. Alipotafutwa na paparazi wetu, Lucy...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani