LUCY KOMBA ANYOA RASTA KISA NDOA
![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68zWWZsqlic8uXMC2RLByrpZ3W5XNakTomXMxvnllSkY24ghmDs1*daRnLbp68Xu-KeLzP9oHtOc5kAdtn0RO8MV/s.jpg?width=650)
Stori: Na Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lucy Komba ambaye hivi karibuni alifunga ndoa na Janus Stanley, raia wa Denmark, amesema kuwa ameamua kunyoa rasta zake alizozifuga kwa muda mrefu kwa kile alichodai matakwa ya ndoa. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Lucy Komba. Akizungumza na mwandishi wetu, Lucy alisema kuwa ameamua kunyoa nywele zake hizo kwa kuwa anaona ni mke wa mtu anatakiwa kubadilika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHGyNSEW0ZEsIibvlNKLUXO-eDWPkqbg7byRZv92AoLAFowR-kYcgIhn*5onmdxh5ks0JIISkg2xF5SaeUPNDkp/BACKAMANI.jpg)
NDOA YA LUCY KOMBA MIZENGWE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nd24W9ECLPOXF*VFLZM20sRL3CmXW2HDwL2o09s-K1Jst9X2mb0YoPRohMqGxxN*Co3b6U3HvzLccpJ4YvflV85wwGkR4OK1/lucy.jpg)
NDOA YA LUCY KOMBA MIKOSI 3
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWyIAqoEpzad2Pd14kNSJSlouCxoFi0GAlOSlre*AWXgUNFEcEyWng96ZTwMT*GG9GbEnchbM*WhQRa7xHXh*IZ-/wastara.jpg?width=650)
WASTARA AMPA SOMO LA NDOA LUCY KOMBA
10 years ago
Bongo Movies09 Sep
Mwigizaji mkongwe nchini Lucy Komba afunga ndoa. Tazama picha za harusi
Hatimaye yule mwigizaji mkongwe nchini Lucy komba amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi aishie nchini Denmark aliyefahamika kwa jina la Stanley,. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii nchini lucy ameandika
"..Asante Mungu kwa siku hii nzuri na muhimu sana katika maisha yangu, wengi hawakutaka nifikie siku hii, kunawengine walinuna, kunawengine waliniombea mabaya, kuna wengine walichukia na wengine waliambiana wanichunie walifikiri bila wao Mungu hawezi kuifanikisha siku...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3Lu08S0jIxSAZQPCxEJpPEFszqQb2t21exDZZmszfIUR*rmlHwEbuhGMUTmm*uTmYHF1bHR-4KU5knSMdnmMs-93/LukaModricRealMadrid2013_2916390.jpg?width=650)
KISA UBINGWA WA UEFA MODRIC ANYOA NYWELE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2Zt5PTB*9R-dmR4hI*XrpxrM2VG2qtUTC3SKTBVyfDx1zGbgaad0UxiK2Xck0altHlHAiZxyAHjvz5sHx8X0JA/lucykomba.jpg)
LUCY KOMBA ANASWA NA PETE YA UCHUMBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w9JIhnUgjg-47Wb6wnpqauvPTXWWS0nxZt1yzaBFdx183zJO7IqT04V-gqvT8IdmGsp5wvpZ0UlHpz*90fKsRE5ErOfah5VN/lucy.jpg)
LUCY KOMBA: MIMI NI ZAO LA TYSON
11 years ago
GPLLUCY KOMBA: NIACHENI NIDENDEKE NA MZUNGU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NRpz*rV1U-ux0uZwioODkLn-kdBWSLy6izUPtRbVr5NetkXv0sCQQCTG7SK6iFuVuR9WEJbIwVEa7OyFftVMZVUEzbPOLXKE/lucy.jpg)
LUCY KOMBA: NIMEISHI NA MR. WIKI MBILI TU!