KISA UBINGWA WA UEFA MODRIC ANYOA NYWELE
![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3Lu08S0jIxSAZQPCxEJpPEFszqQb2t21exDZZmszfIUR*rmlHwEbuhGMUTmm*uTmYHF1bHR-4KU5knSMdnmMs-93/LukaModricRealMadrid2013_2916390.jpg?width=650)
Hivi ndivyo anavyoonekana sasa hivi baada ya kukata nywele zake. KIUNGO wa kikosi cha Real Madrid, Luka Modric ameamua kukata nywele zake baada ya timu yake hiyo kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Uefa mbele ya Atletico Madrid kwa kuibanjua mabao 4-1 Jumamosi iliyopita.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68zWWZsqlic8uXMC2RLByrpZ3W5XNakTomXMxvnllSkY24ghmDs1*daRnLbp68Xu-KeLzP9oHtOc5kAdtn0RO8MV/s.jpg?width=650)
LUCY KOMBA ANYOA RASTA KISA NDOA
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Modric ; Matumaini yangu Brazil
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75524000/jpg/_75524639_modric1_getty.jpg)
Modric hoping to be fit for Cameroon
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Shabiki wa Chris Brown anyoa mtindo wa kava ya Loyalty
Mtindo alionyoa shabiki huyo.
IKIWA ni saa chache baada ya staa wa muziki wa Pop duniani, Chris Brown jana Ijumaa Desemba 18 kuachia albamu yake mpya iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na mashabiki zake inayotambulika kwa jina la Royalty, mmoja wa mashabiki zake ameamua kunyoa nywele zake kwa mtindo unaoonesha picha iliyopo kwenye kava ya album ya Chris Brown ‘Loyalty’.
Picha hiyo inamuonesha Chris Brown akiwa amembeba mwanaye aitwaye Loyalty.
9 years ago
Bongo516 Oct
Real Madrid yapata pigo baada ya kiungo wake Luka Modric kukaa nje ya uwanja kwa wiki tatu
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xbwx5Ntwzy0/UxSVHQ1ZFoI/AAAAAAAFQ7U/5z2dC5QuN48/s72-c/MMG26623.jpg)
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Mitindo tofauti ya kubana nywele
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Neymar Jr na mitindo 30 tofauti ya nywele
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Nafasi ya shampoo katika nywele