Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitindo tofauti ya kubana nywele

Urembo wa nywele, ni ule ambao unazingatiwa watu wa jinsi zote, lakini zaidi ni kwa wanawake. Jinsi hii, kwa kiasi kikubwa, wamekuwa wakitumia muda mwingi kutunza nywele.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Neymar Jr na mitindo 30 tofauti ya nywele

Mashabiki wengi wa soka wanamfahamu Neymar Jr kuwa ni mwanasoka nyota wa Brazil na klabu yake, Barcelona ya Hispania.

 

10 years ago

Mwananchi

Unavyoweza kubadili mitindo ya nywele fupi

Imezoeleka mtu mwenye nywele ndefu ndiyo ana uwezo wa kutengeneza mitindo mbalimbali.

 

5 years ago

BBCSwahili

Barakoa za mitindo tofauti zatengezwa kwa wingi

ulimwengu wa fasheni umetengeza barakoa za kupendeza na za mitindo tofauti.

 

9 years ago

Habarileo

Sheria kutumika kubana wafanyabiashara

UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro umesema kuanzia sasa utaanza kutumia sheria, taratibu na kanuni zilizopitishwa kisheria kuhakikisha wafanyabiashara wanafanya kazi zao katika maeneo yaliyotengwa ikiwamo masoko na si vinginevyo.

 

9 years ago

Mtanzania

Basata kubana wasanii wanaokejeli

Basata shilole1NA MWALI IBRAHIM

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaonya wasanii wanaotumia lugha chafu na ukiukwaji wa maadili hasa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

Katibu mkuu wa baraza hilo, Gofrey Mngereza, alisema baraza hilo litachukua hatua stahiki kwa wimbi la wasanii wanaovunja maadili, wanaokaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi zao za sanaa jambo ambalo linazua malalamiko, masikitiko na hofu kwa mashabiki wa kazi za sanaa.

“Lugha zenye maneno machafu ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mahakama vinara kubana taarifa

TAASISI ya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), imeitunuku tuzo ya ufunguo wa dhahabu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), kwa kutoa taarifa kwa umma huku Idara ya Mahakama ikitunukiwa tuzo...

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra kubana mabasi ya mikoani

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra) imebaini baadhi ya mabasi yaendayo mikoani, yameondoa orodha ya namba za simu zilizobandikwa na hivyo kuagiza kufikia leo, ziwe zimebandikwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaovalia suruali za kubana waonywa

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 35 alilazimika kutolewa ndani ya suruali ndefu aina ya Jeans, baada ya miguu yake kuvimba kupita kiasi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani