Mahakama vinara kubana taarifa
TAASISI ya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), imeitunuku tuzo ya ufunguo wa dhahabu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), kwa kutoa taarifa kwa umma huku Idara ya Mahakama ikitunukiwa tuzo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAKARANI WA MAHAKAMA MKOA WA DAR ES SALAAM WAPEWA MAFUNZO YA UINGIZAJI WA TAARIFA ZA MASHAURI KWA NJIA YA KI-ELECTRONIKI


9 years ago
Dewji Blog03 Dec
TAARIFA KWA UMMA:Wananchi jimbo la Mafia wafungua kesi Mahakama kuu kupinga ushindi wa Mbaraka Dau!!
TAARIFA KWA UMMA: “Watanzania wenzangu na kipekee kabisa wana Mafia wenzangu sasa ni takriban siku 40, Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu na kutangazwa washindi..kama
Mtakumbuka uchaguzi wa jimbo la Mafia uligubikwa na mizengwe ya hali ya juu na ulitawaliwa na mambo mbali mbali ya ukiukwaji wa taratibu na hatimaye ukafanyika na msimamizi wa uchaguzi kumtangaza mshindi BATILI wa CCM bwana Mbaraka Dau kuwa mshindi kwa tofauti ya kura chache dhidi ya mgombea wa CUF Omary Ayoub Kimbau ambaye...
9 years ago
Habarileo04 Jan
Sheria kutumika kubana wafanyabiashara
UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro umesema kuanzia sasa utaanza kutumia sheria, taratibu na kanuni zilizopitishwa kisheria kuhakikisha wafanyabiashara wanafanya kazi zao katika maeneo yaliyotengwa ikiwamo masoko na si vinginevyo.
10 years ago
Mtanzania14 Sep
Basata kubana wasanii wanaokejeli
NA MWALI IBRAHIM
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaonya wasanii wanaotumia lugha chafu na ukiukwaji wa maadili hasa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.
Katibu mkuu wa baraza hilo, Gofrey Mngereza, alisema baraza hilo litachukua hatua stahiki kwa wimbi la wasanii wanaovunja maadili, wanaokaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi zao za sanaa jambo ambalo linazua malalamiko, masikitiko na hofu kwa mashabiki wa kazi za sanaa.
“Lugha zenye maneno machafu ya...
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Mitindo tofauti ya kubana nywele
10 years ago
BBCSwahili23 Jun
Wanaovalia suruali za kubana waonywa
10 years ago
Habarileo13 Nov
Sumatra kubana mabasi ya mikoani
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra) imebaini baadhi ya mabasi yaendayo mikoani, yameondoa orodha ya namba za simu zilizobandikwa na hivyo kuagiza kufikia leo, ziwe zimebandikwa.
10 years ago
Habarileo23 Apr
Serikali kubana zaidi viongozi kimaadili
SERIKALI imeanzisha ramsi mwongozo wa maadili ya viongozi wa umma wenye lengo la kukabiliana na vitendo vya ukiukwaji wa maadili ya viongozi wa umma nchini, mgongano wa kimaslahi, kuongeza uwajibikaji, uadilifu na uwazi katika shughuli za umma.