Unavyoweza kubadili mitindo ya nywele fupi
Imezoeleka mtu mwenye nywele ndefu ndiyo ana uwezo wa kutengeneza mitindo mbalimbali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Mitindo tofauti ya kubana nywele
Urembo wa nywele, ni ule ambao unazingatiwa watu wa jinsi zote, lakini zaidi ni kwa wanawake. Jinsi hii, kwa kiasi kikubwa, wamekuwa wakitumia muda mwingi kutunza nywele.
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Neymar Jr na mitindo 30 tofauti ya nywele
Mashabiki wengi wa soka wanamfahamu Neymar Jr kuwa ni mwanasoka nyota wa Brazil na klabu yake, Barcelona ya Hispania.
10 years ago
Mwananchi26 Jul
SAIKOLOJIA : unavyoweza kujenga uhusiano bila ya kuzungumza
Je, umewahi kusikia watu wakieleza tabia za mtu kutokana na jinsi anavyoonekana na vitendo vyake bila hata kumsikia akisema? Watu huweza kusema: “Yule ana roho mbaya wala hapendi watu hata mkikutana naye hakuonyeshi tabasamu wala hakuchangamkii.â€
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Je unajua jinsi unavyoweza kuwa kiongozi bora
Kufuatia uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni kuna baadhi ya wasomaji wameniomba niandike kuhusu uongozi. Hata hivyo, nilipoamua kuandika kuhusu mada hii nikawa na hofu kuwa itasomwa na watu wachache sana yaani viongozi tu.
10 years ago
MichuziUtalii unavyoweza kuleta ajira kwa vijana
Kukua kwa biashara ya watalii kumeweza kutoa ajira kwa vijana wengi nchini,Huku ikikuza vipaji vya kazi za mikono ambapo zina soko kubwa kwa wageni kijana huyo alikutwa akichora picha ya mbuyu katika mitaa ya Hurumzi Stree Stone Town. Picha na Sabry Juma wa Zanzibar.
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Fahamu namna unavyoweza kunufaika kutokana na kupenda kujisomea
Hivi karibuni nilipokuwa nafikiria kuhusu safu yangu ya Jitambue, niligundua kuwa nimekuwa nikiandika makala kila Jumapili sasa yapata mwaka mmoja na nusu. Baada ya kubaini hivyo, kuna swali moja likanijia katika mawazo yangu. “Je wasomaji wangu wanajua jinsi ya kunufaika kutokana na usomaji?
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Jinsi mama mpya unavyoweza kuwa mlezi bora zaidi
Kuwa mama si kitu rahisi kama watu wengi wanavyodhani. Kuna mambo mengi yanayopaswa kuzingatiwa ili kuwa si tu mama bora bali pia mlezi sahihi wa familia.
5 years ago
BBCSwahili27 Mar
Coronavirus: Hivi ndivyo unavyoweza kuzuwia sambaa kwa taarifa potofu
Wataalamu wanautolea wito umma kujifunza kutoa ‘taarifa safi ’ili kusaidia kuzuwia kuenea kwa taarifa za gushi.
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Virusi vya corona: Jinsi unavyoweza kuburudika wakati unapokuwa umejitenga
Wasanii mbali mbali duniani wamebuni mbinu ya kuwafurahisha kwa njia ya mtandao watu wanaokuwa wamejitenga
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania