Utalii unavyoweza kuleta ajira kwa vijana
![](http://1.bp.blogspot.com/-7jhaK9cME8k/VAAjj19jrnI/AAAAAAAGRT0/MlKFavWDLBo/s72-c/Saana.jpg)
Kukua kwa biashara ya watalii kumeweza kutoa ajira kwa vijana wengi nchini,Huku ikikuza vipaji vya kazi za mikono ambapo zina soko kubwa kwa wageni kijana huyo alikutwa akichora picha ya mbuyu katika mitaa ya Hurumzi Stree Stone Town. Picha na Sabry Juma wa Zanzibar.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVIJANA WAFURIKA BANDA LA TBL MAONESHO YA AJIRA KWA VIJANA DAR
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/mYFIR4DpJyY/default.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar10 Sep
Sauti:Ajira kwa vijana
Repoti ya Salma Said:
The post Sauti:Ajira kwa vijana appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
YDF inavyotengeneza ajira kwa vijana
TAKWIMU zinaonyesha kuna jumla ya vijana milioni 16,195,370 ambapo takribani vijana milioni 1.2 humaliza elimu ya vyuo mbalimbali kila mwaka na kati yao vijana 200,000 huajiriwa kwa mwaka. Ikumbukwe kuwa...
9 years ago
Habarileo11 Sep
Samia aahidi ajira kwa 40% ya vijana
MGOMBEA mwenza wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema katika ilani ya CCM ya awamu ya serikali ya tano, wameahidi kutoa ajira kwa asilimia 40 ya vijana ambazo zitatokana na viwanda, vikubwa na vidogo.
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Kilimo ajira kwa vijana Kenya
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xfwMy2zP1p8/VBrXSMW8EzI/AAAAAAABCtA/r6rsf9gxZdI/s72-c/IMG_8858.jpg)
WAKALA WA AJIRA TANZANIA WAELEZA MIKAKATI YAO YA KUWASAIDIA VIJANA WANAOKUBWA NA JANGA LA KUKOSA AJIRA
![](http://4.bp.blogspot.com/-xfwMy2zP1p8/VBrXSMW8EzI/AAAAAAABCtA/r6rsf9gxZdI/s1600/IMG_8858.jpg)
9 years ago
Mwananchi11 Oct
Maalim Seif aahidi ajira kwa vijana
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Fastjet yaongeza ajira kwa vijana Tanzania
Meneja Mkuu wa shirika la ndege la fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (katikati) katika picha ya pamoja na wahudumu 12 (wenye sare) wa ndege hiyo waliohitimu mafunzo yao na tayari kwa kuanza kazi. Wengine katika picha ni Meneja wa wahudumu wa ndege ya Fastjet Eugene Dadet (mwenye vazi jeupe) na mwasibu mkuu wa fastjet, Evelyn Mtenga (Kushoto).
Meneja mkuu wa shirika la ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (katikati), Meneja wa wahudumu wa ndege ya Fastjet Eugene Dadet...