Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif aahidi ajira kwa vijana

Mgombea urais wa Zanzibar (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameahidi kuwa wananchi wakimchagua kushika wadhifa huo, atahakikisha vijana visiwani hapa wanapata ajira na kuwa na maisha bora.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Samia aahidi ajira kwa 40% ya vijana

MGOMBEA mwenza wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema katika ilani ya CCM ya awamu ya serikali ya tano, wameahidi kutoa ajira kwa asilimia 40 ya vijana ambazo zitatokana na viwanda, vikubwa na vidogo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif: aahidi kuviboresha vikose vya smz

Mgombea Urais wa Zanzibar wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa chama hicho kwenye uwanja wa Mkele, Unguja siku ya Jumatano, wiki iliyopita. Na: Hassan Hamad, OMKR […]

The post Maalim Seif: aahidi kuviboresha vikose vya smz appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Cuf wazindua kampeni, Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema  kama atapewa ridhaa ya kuwa rais atahakikisha Zanzibar inapata mamlaka kamili.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif aahidi mafuta, gesi ndani ya siku 100 Zanzibar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AAHIDI MAFUTA, GESI NDANI YA SIKU 100 ZANZIBAR

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF,Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

Maalim Seif alisema hayo juzi kwenye viwanja vya Tibirinzi mkoani Kusini Pemba alipokuwa akizungumza na wananchi na wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa.

Aliwaomba wananchi wa Unguja na Pemba wampe ridhaa ya kuongoza visiwa vya Zanzibar ili aweze kuwaletea maendeleo...

 

9 years ago

Vijimambo

Maalim Seif asikitishwa na ajira za watoto Wilaya ya Micheweni

 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia watoto wanaovyojihusisha na kazi ya uvunjaji wa kokoto katika Wilaya ya Micheweni, alipotembelea kikundi kinachojihusisha na kazi hiyo. Baadhi ya watoto wakijihusisha na kazi ya uvunjaji wa kokoto katika Wilaya ya Micheweni. Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia kazi ya useremala inayofanywa na wananchi wa kijiji cha Wingwi na maeneo mengine ya Wilaya ya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar

BY- EMMANUEL MTENGWA, MWANANCHI DIGITAL Wafuasi na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho Kibandamaiti Zainzibar. Picha na Said Khamis Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), […]

The post Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

Maalim Seif aahidi kupandisha bei ya zao la mwani pindipo akichaguliwa kuwa Rais



Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wananchi wa Tumbe alipotembelea eneo hilo.
Na Khamis Haji , OMKR
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewaahidi wakulima wa zao la mwani Zanzibar kuwa atapandisha bei ya zao hilo mara moja, iwap atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwezi ujao.

Maalim Seif alisema bei wanayolipwa wakulima ya shilingi 700 na 800 hivi sasa ni ndogo na hailingani na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif afarijika vijana kuitetea Zanzibar

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema amepata moyo na kufarajika sana kuona vijana wa Zanzibar wana ari kubwa ya kutetea nchi yao kuliko ilivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani