Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif asikitishwa na ajira za watoto Wilaya ya Micheweni

 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia watoto wanaovyojihusisha na kazi ya uvunjaji wa kokoto katika Wilaya ya Micheweni, alipotembelea kikundi kinachojihusisha na kazi hiyo. Baadhi ya watoto wakijihusisha na kazi ya uvunjaji wa kokoto katika Wilaya ya Micheweni. Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia kazi ya useremala inayofanywa na wananchi wa kijiji cha Wingwi na maeneo mengine ya Wilaya ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ATEMBELEA MICHEWENI LEO

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mzee wa Makangale, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Micheweni. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimfariji Bi. Habiba Mkadam Hamad wa kijiji cha Makangale baada ya kumjuilia hali, akiwa katika ziara ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Micheweni. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika kijiji cha...

 

9 years ago

Michuzi

MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI PEMBA ND.JABU KHAMIS MTWANA YALIYOFANYIKA JANA KIJINI KWAO WILAYA YA MICHEWENI

 Jeneza lililobeba mwili wa marehemu.
 Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akishiriki katika mazishi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Micheweni Pemba.

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AFANYA MKUTANO NA WANA CCM WA KIJIJI CHA KWALE WILAYA YA MICHEWENI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni wakati alipowasili kuzungumza nao.Balozi Seif akizungumza na Wananchi na Wana
CCM wa Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni akitekeleza ahadi aliyotoa kwa Wazee Waasisi wa Kijiji hicho ya kufika kusalimiana nao.

Baadhi ya Wananchi na wana CCM wa Kijiji cha Kwale wakifuatilia Hotuba ya Balozi Seif hayupo pichani alipofika Kjijini hapo kusalimiana nao.Balozi Seif akiwa Mjumbe...

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif aahidi ajira kwa vijana

Mgombea urais wa Zanzibar (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameahidi kuwa wananchi wakimchagua kushika wadhifa huo, atahakikisha vijana visiwani hapa wanapata ajira na kuwa na maisha bora.

 

10 years ago

Michuzi

maalim seif ziarani Wilaya ya Kaskazini B unguja

Na Hassan Hamad, OMKR Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameweka mawe ya msingi na kupandisha bendera katika matawi na barza sita za CUF ndani ya Jimbo Kitope Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.  Matawi na barza alizoweka mawe ya msingi ni pamoja na Kiombamvua, Mkaratini, Mgambo, Kilombero, Kipandoni na Kiwengwa Cairo. Hata hivyo, mkutano wa hadhara uliokuwa ufanyike katika viwanja vya Kipandoni umehairishwa, kwa madai kuwa haukupata kibali kutoka kwa jeshi la polisi.  Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AFANYA ZIARA WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA


 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika barza ya CUF ya WENYE WIVU WAJINYONGE katika eneo la Kitope Mkaratini..Vijana wa barza ya HATUDANGANYIKI  ya Kiwengwa Cairo wakimsikiliza Maalim Seif wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika barza hiyo (Picha na OMKR)

Na Hassan Hamad, OMKR Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameweka mawe ya msingi na kupandisha bendera katika matawi na barza sita za CUF ndani ya Jimbo Kitope Wilaya ya Kaskazini "B"...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AKAGUA FAMILIA YENYE WATOTO SITA WENYE ULEMAVU

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na familia ya Bw. Saleh Juma Saleh (mwenye mtoto), yenye watoto sita wenye ulemavu wa aina tofauti, huko nyumbani kwao Kinyasini Mkarafuuni Wilaya ya WeteMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na familia ya Bw. Saleh Juma Saleh (mwenye mtoto), yenye watoto sita wenye ulemavu wa aina tofauti, huko nyumbani kwao Kinyasini Mkarafuuni Wilaya ya Wete.(Picha na OMKR) 
Na:...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AITEMBELEA FAMILIA YA WATOTO SITA WENYE ULEMAVU, PEMBA

Na Hassan Hamad, OMKR
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo ameitembelea na kuifariji familia ya Bw. Saleh Juma Saleh yenye watoto sita wenye ulemavu.
Akizungumza na familia hiyo nyumbani kwao Kinyasini Mkarafuuni Wilaya ya Wete Pemba, katika mfululizo wa ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Mkoa wa Kaskazini Pemba, Maalim Seif ameitaka kuwa na subra na upendo kwa watoto hao wakielewa kuwa huo ni mtihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Amemuagiza Mkuu Mkuu wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mkuu wa Wilaya ya Micheweni afariki, azikwa

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, jana aliungana na wananchi kisiwani Pemba, katika mazishi ya Mkuu wa Wilaya ya Micheweni, Jabu Khamis Mbwana aliyefariki dunia jana kijijini kwake Kiuyu Micheweni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani