Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI PEMBA ND.JABU KHAMIS MTWANA YALIYOFANYIKA JANA KIJINI KWAO WILAYA YA MICHEWENI

 Jeneza lililobeba mwili wa marehemu.
 Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akishiriki katika mazishi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Micheweni Pemba.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI PEMBA NDG JABU KHAMIS MBWANA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO

Mhe Jabu Khamis Mbwana alipoapishwa kuwa Mkuu wa Wilaya na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, Dr A|li Mohamed Shein. 
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi Raaji'un
Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Nd. Jabu Khamis Mbwana amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Kijiji kwake Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Marehemu Jabu alikuwa akisumbuliwa na homa kwa takriban wiki moja sasa na maziko yatafanyika huko Kiuyu saa nne za asubuhi leo hii.

Mkuu huyo wa Wilaya ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MAREHEMU MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI MHE. JABU KHAMIS MBWANA AZIKWA PEMBA

  WAUMINI mbali mbali wa Dini ya Kiislamu wakiongozwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, wakimswalia Marehemu Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Mhe:Jabu Khamis Mbwana, swala iliyofanyika huko kijijini kwao Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Ksiwani Pemba.

 WANANCHI mbali mbali Kisiwani Pemba wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Mhe. Jabu Khamis Mbwana, kuupeleka kwenye makaazi yake ya Mwisho huko kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni.

 MAKAMO wa Pili...

 

9 years ago

Mwananchi

Mkuu wa Wilaya ya Micheweni afariki, azikwa

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, jana aliungana na wananchi kisiwani Pemba, katika mazishi ya Mkuu wa Wilaya ya Micheweni, Jabu Khamis Mbwana aliyefariki dunia jana kijijini kwake Kiuyu Micheweni.

 

9 years ago

Vijimambo

Maalim Seif asikitishwa na ajira za watoto Wilaya ya Micheweni

 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia watoto wanaovyojihusisha na kazi ya uvunjaji wa kokoto katika Wilaya ya Micheweni, alipotembelea kikundi kinachojihusisha na kazi hiyo. Baadhi ya watoto wakijihusisha na kazi ya uvunjaji wa kokoto katika Wilaya ya Micheweni. Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia kazi ya useremala inayofanywa na wananchi wa kijiji cha Wingwi na maeneo mengine ya Wilaya ya...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AFANYA MKUTANO NA WANA CCM WA KIJIJI CHA KWALE WILAYA YA MICHEWENI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni wakati alipowasili kuzungumza nao.Balozi Seif akizungumza na Wananchi na Wana
CCM wa Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni akitekeleza ahadi aliyotoa kwa Wazee Waasisi wa Kijiji hicho ya kufika kusalimiana nao.

Baadhi ya Wananchi na wana CCM wa Kijiji cha Kwale wakifuatilia Hotuba ya Balozi Seif hayupo pichani alipofika Kjijini hapo kusalimiana nao.Balozi Seif akiwa Mjumbe...

 

11 years ago

Michuzi

mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Hayati Moshi Mussa Chang'a

Baadhi ya Wakuu wa Wilaya nchini na Wananchi wakishiriki kubeba mwili wa Marehemu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Hayati Moshi Mussa Chang'a kwa ajili ya kwenda kuusalia katika Msikiti wa Mwanchang'a Kihesa na baadae kupelekwa katika makaburi Mtwivila alikozikwa rasmi na mamia ya wananchi walijitokeza katika msiba huo Mkoani Iringa jana.  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akisalimiana kwa majonzi makubwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

AMIRI JESHI MKUU RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA KYERWA LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO MKOANI MOROGORO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati) na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda (pichani shoto) wakishuhudia askari wa jeshi la Wananchi (JWTZ) wakipiga risasi hewani kama sehemu ya heshima ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera leo,Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (mstaafu) huko kwenye makaburi ya Mlima Kola Kigurunyembe mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani