mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Hayati Moshi Mussa Chang'a
![](http://2.bp.blogspot.com/-5Duhvag7-MY/U1kk6RJjjDI/AAAAAAAAFW8/XPSNJJiNRTY/s72-c/IMG_1226.jpg)
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya nchini na Wananchi wakishiriki kubeba mwili wa Marehemu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Hayati Moshi Mussa Chang'a kwa ajili ya kwenda kuusalia katika Msikiti wa Mwanchang'a Kihesa na baadae kupelekwa katika makaburi Mtwivila alikozikwa rasmi na mamia ya wananchi walijitokeza katika msiba huo Mkoani Iringa jana.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akisalimiana kwa majonzi makubwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Michuzi