Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cuf wazindua kampeni, Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema  kama atapewa ridhaa ya kuwa rais atahakikisha Zanzibar inapata mamlaka kamili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar

BY- EMMANUEL MTENGWA, MWANANCHI DIGITAL Wafuasi na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho Kibandamaiti Zainzibar. Picha na Said Khamis Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), […]

The post Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Wazanzibari wanataka mamlaka kamili

>Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Wazanzibar wanaisubiri kwa hamu Rasimu ya Katiba ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ili kuona kama imezingatia masilahi na matakwa yao katika kupata mamlaka kamili ya Zanzibar.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo wazindua kampeni, Mghwira aahidi serikali ya umoja

Chama cha ACT-Wazalendo wazindua rasmi kampeni zao kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.  Katika uzinduzi huo, mgombea wa Urais wa chama hich, Anna Mghwira ameahidi kuunda serikali ya umoja wa kitaifa endapo atashinda urais.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif aahidi ajira kwa vijana

Mgombea urais wa Zanzibar (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameahidi kuwa wananchi wakimchagua kushika wadhifa huo, atahakikisha vijana visiwani hapa wanapata ajira na kuwa na maisha bora.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM Zanzibar wazindua rasmi kampeni, Shein aahidi kudumisha mapinduzi

Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar leo wamezindua rasmi kampeni za kitaifa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif: aahidi kuviboresha vikose vya smz

Mgombea Urais wa Zanzibar wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa chama hicho kwenye uwanja wa Mkele, Unguja siku ya Jumatano, wiki iliyopita. Na: Hassan Hamad, OMKR […]

The post Maalim Seif: aahidi kuviboresha vikose vya smz appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif: Z`bar hatuikubali Katiba

Awataka wananchi waikataeChama cha Wananchi (CUF) kimesema hakiikubali Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haina maslahi ya wananchi wa Zanzibar.Badala yake chama hicho kimewataka Wazanzibari waikatae Katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK).

Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa CUF ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Demokrasia vya Kibanda Maiti, mjini Zanzibar.

“Wananchi,...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif akutana na uongozi wa mamlaka ya uwekezaji nchini Qatar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na ujumbe wa mamlaka ya uwekezaji (Qatar Holding) mjini Doha, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku nne nchini Qatar. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa maendeleo ya biashara wa mamlaka ya uwekezaji ya Qatar Sheikh Faisal Bin Soud Al-Thani, baada ya mazungumzo yao mjini Doha. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani