Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif: aahidi kuviboresha vikose vya smz

Mgombea Urais wa Zanzibar wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa chama hicho kwenye uwanja wa Mkele, Unguja siku ya Jumatano, wiki iliyopita. Na: Hassan Hamad, OMKR […]

The post Maalim Seif: aahidi kuviboresha vikose vya smz appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif aahidi ajira kwa vijana

Mgombea urais wa Zanzibar (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameahidi kuwa wananchi wakimchagua kushika wadhifa huo, atahakikisha vijana visiwani hapa wanapata ajira na kuwa na maisha bora.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif aahidi mafuta, gesi ndani ya siku 100 Zanzibar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

 

9 years ago

Mwananchi

Cuf wazindua kampeni, Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema  kama atapewa ridhaa ya kuwa rais atahakikisha Zanzibar inapata mamlaka kamili.

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AAHIDI MAFUTA, GESI NDANI YA SIKU 100 ZANZIBAR

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF,Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

Maalim Seif alisema hayo juzi kwenye viwanja vya Tibirinzi mkoani Kusini Pemba alipokuwa akizungumza na wananchi na wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa.

Aliwaomba wananchi wa Unguja na Pemba wampe ridhaa ya kuongoza visiwa vya Zanzibar ili aweze kuwaletea maendeleo...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar

BY- EMMANUEL MTENGWA, MWANANCHI DIGITAL Wafuasi na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho Kibandamaiti Zainzibar. Picha na Said Khamis Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), […]

The post Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

Maalim Seif aahidi kupandisha bei ya zao la mwani pindipo akichaguliwa kuwa Rais



Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wananchi wa Tumbe alipotembelea eneo hilo.
Na Khamis Haji , OMKR
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewaahidi wakulima wa zao la mwani Zanzibar kuwa atapandisha bei ya zao hilo mara moja, iwap atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwezi ujao.

Maalim Seif alisema bei wanayolipwa wakulima ya shilingi 700 na 800 hivi sasa ni ndogo na hailingani na...

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AUNGURUMA KATIKA VIWANJA VYA MAISARA

         Na: Hassan Hamad, OMKR. 
Chama Cha Wananchi CUF kimefunga rasmi kampeni zake za uchaguzi kwa upande wa Zanzibar na kuwataka wadau wa uchaguzi kuheshimu maamuzi ya wananchi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumapili ijayo.Akizungumza kwenye mkutano huo wa ufungaji wa kampeni uliofanyika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema wananchi ndio wenye mamlaka ya kuiweka Serikali madarakani, hivyo...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif afungua mafunzo kwa vyombo vya utekelezaji wa sheria,Zanzibar leo

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifungua mafunzo kwa vyombo vya utekelezaji wa sheria, hoteli ya Zanzibar Ocean View, Kilimani Zanzibar. Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Aboubakar Khamis Bakar, akizungumza katika mafunzo hayo. Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif...

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AUNGURUMA VIWANJA VYA TIBIRIZI, CHAKE CHAKE PEMBA

Mamia ya wafuasi wa Chama Cha Wananchi ( Cuf ) wakimsikiliza mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano uliofanyika viwanja wa Tibirizi, Chake Chake Pemba leo.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Cuf, Maalim Seif akihutubia mkutano wa hadhara wakati akinadi sera zake katika viwanja vya Tibirizi, Chake Chake Pemba
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema iwapo atachaguliwa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani