Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif aahidi kupandisha bei ya zao la mwani pindipo akichaguliwa kuwa Rais



Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wananchi wa Tumbe alipotembelea eneo hilo.
Na Khamis Haji , OMKR
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewaahidi wakulima wa zao la mwani Zanzibar kuwa atapandisha bei ya zao hilo mara moja, iwap atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwezi ujao.

Maalim Seif alisema bei wanayolipwa wakulima ya shilingi 700 na 800 hivi sasa ni ndogo na hailingani na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Maalim Seif kupandisha Mshahara pindipo akichaguliwa kuwa Rais

Mgombea Urais kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia katika mkutano wa hadhara uwanja wa Masumbani jimbo la Chumbuni jana.Wanachama na wafuasi wa CUF wakimsikiliza Maalim Seif huko uwanja wa Masumbani jana.
Na Khamis Haji , OMKR
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema akichaguliwa atakuza uwezo wa Serikali kujiongezea mapato na ataongeza kima cha chini cha mshahara hadi kufikia 400,000.

Akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif kupandisha mishahara akichaguli kuwa Rais

Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (CUF) akihutubia katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu kwenye uwanja wa Masumbani, jimbo la Chumbuni juzi. Na Khamis Haji , OMKR Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama […]

The post Maalim Seif kupandisha mishahara akichaguli kuwa Rais appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

Maalim Seif kuifungua Zanzibar kiuchumi na kibiashara pindipo akipata ridhaa za wananchi

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wafuasi na wapenzi wa Chama hicho katika viwanja vya Kwawazee mjini Zanzibar.Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwatambulisha na kuwanadi baadhi ya wagombea wa nafasi za Ubunge, Uwakilishi na Udiwani kwa majimbo ya Amani na Magomeni katika viwanja vya Kwawazee mjini Zanzibar.Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,...

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif aahidi ajira kwa vijana

Mgombea urais wa Zanzibar (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameahidi kuwa wananchi wakimchagua kushika wadhifa huo, atahakikisha vijana visiwani hapa wanapata ajira na kuwa na maisha bora.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif: aahidi kuviboresha vikose vya smz

Mgombea Urais wa Zanzibar wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa chama hicho kwenye uwanja wa Mkele, Unguja siku ya Jumatano, wiki iliyopita. Na: Hassan Hamad, OMKR […]

The post Maalim Seif: aahidi kuviboresha vikose vya smz appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif aahidi mafuta, gesi ndani ya siku 100 Zanzibar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AAHIDI MAFUTA, GESI NDANI YA SIKU 100 ZANZIBAR

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF,Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

Maalim Seif alisema hayo juzi kwenye viwanja vya Tibirinzi mkoani Kusini Pemba alipokuwa akizungumza na wananchi na wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa.

Aliwaomba wananchi wa Unguja na Pemba wampe ridhaa ya kuongoza visiwa vya Zanzibar ili aweze kuwaletea maendeleo...

 

9 years ago

Mwananchi

Cuf wazindua kampeni, Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema  kama atapewa ridhaa ya kuwa rais atahakikisha Zanzibar inapata mamlaka kamili.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar

BY- EMMANUEL MTENGWA, MWANANCHI DIGITAL Wafuasi na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho Kibandamaiti Zainzibar. Picha na Said Khamis Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), […]

The post Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani