Maalim Seif aahidi mafuta, gesi ndani ya siku 100 Zanzibar
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo12 Sep
MAALIM SEIF AAHIDI MAFUTA, GESI NDANI YA SIKU 100 ZANZIBAR
![Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF,](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2867330/highRes/1117034/-/maxw/600/-/3xnm11z/-/Sef.jpg)
Maalim Seif alisema hayo juzi kwenye viwanja vya Tibirinzi mkoani Kusini Pemba alipokuwa akizungumza na wananchi na wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa.
Aliwaomba wananchi wa Unguja na Pemba wampe ridhaa ya kuongoza visiwa vya Zanzibar ili aweze kuwaletea maendeleo...
9 years ago
MichuziMAALIM SEIF ATEMBELEA KISIMA KINACHOSADIKIWA KUWA NA MAFUTA KATIKA ENEO LA TUNDAUWA,ZANZIBAR
Amesema kwa miaka mingi Zanzibar imeshindwa kuchimba mafuta yake kutokana na kutokuwepo mikakati imara, na kuahidi kuwa iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar atahakikisha kuwa suala hilo linawekewa mikakati imara ya...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Sep
Chama cha Wananchi CUF Chaahidi Uchimbaji Mafuta Ndani ya Siku 100
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha wananchi-CUF- Maalim Seif Sharrif Hamad amesisitiza kuwa anahitaji siku 100 tu kwa Zanzibar kuwa na mamlaka yake kuhusu sera na uchimbaji wa mafuta kisiwani humo. Maalim ametoa msimao huo […]
The post Chama cha Wananchi CUF Chaahidi Uchimbaji Mafuta Ndani ya Siku 100 appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
MichuziMaalim Seif afungua mkutano wa kimataifa wa siku nne wa muziki kwa nchi za jahazi, Zanzibar
BOFYA HAPA KWA HABARI...
10 years ago
MichuziMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad awasili nchini Qatar kwa ziara ya siku nne ya kiserikali.
9 years ago
Mwananchi11 Oct
Maalim Seif aahidi ajira kwa vijana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Sep
Maalim Seif: aahidi kuviboresha vikose vya smz
Mgombea Urais wa Zanzibar wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa chama hicho kwenye uwanja wa Mkele, Unguja siku ya Jumatano, wiki iliyopita. Na: Hassan Hamad, OMKR […]
The post Maalim Seif: aahidi kuviboresha vikose vya smz appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi19 Sep
Maalim Seif: Mimi ndiye wa kuzungumzia mafuta Z’bar
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Cuf wazindua kampeni, Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar