Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilimo ajira kwa vijana Kenya

Vijana nchini Kenya wanabugia kilimo na kuifanya kuwa mojawapo ya njia za kuwapa ajira

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Vijana wakumbatia kilimo Kenya

Ukulima kwa muda mrefu imekuwa ni shughuli ambayo vijana wengi hawapendi kuifanya huku wengi wakiiona kama kazi mtu anayoifanya baada ya kusataafu kazi za ofisini.

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WAFURIKA BANDA LA TBL MAONESHO YA AJIRA KWA VIJANA DAR

 Vijana kutoka vyuo mbalimbali wakiwa katika semina ya jinsi ya kutafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali wakati wa Maonesho ya Ajira kwa Vijana, kwenye Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wakijaza kwenye fomu za kutafuta ajira katika Banda la Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakati wa Maonesho ya vijana wa vyuo ya kupata fursa ya ajira katika taasisi mbalimbali  (Careers Fair 2014) katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam....

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Sauti:Ajira kwa vijana

Repoti ya Salma Said:

The post Sauti:Ajira kwa vijana appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Habarileo

Samia aahidi ajira kwa 40% ya vijana

MGOMBEA mwenza wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema katika ilani ya CCM ya awamu ya serikali ya tano, wameahidi kutoa ajira kwa asilimia 40 ya vijana ambazo zitatokana na viwanda, vikubwa na vidogo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

YDF inavyotengeneza ajira kwa vijana

TAKWIMU zinaonyesha kuna jumla ya vijana milioni 16,195,370 ambapo takribani vijana milioni 1.2  humaliza elimu ya vyuo mbalimbali kila mwaka na kati yao vijana 200,000 huajiriwa kwa mwaka.  Ikumbukwe kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA AJIRA TANZANIA WAELEZA MIKAKATI YAO YA KUWASAIDIA VIJANA WANAOKUBWA NA JANGA LA KUKOSA AJIRA

Afisa Habari wa Wakala wa Ajira Tanzania (TaESA) Jamilah Mbarouk akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuelezea mkakati wao wa kuanzisha mafunzo ili kuweza kuwasaidia vijana wahitimu ili wakabiliane na soko la ajira, Wakala umekuwa ukitoa mafunzo ya namna ya kushindania fursa za ajira. Mafunzo haya yamevutia watafutakazi wengi ambao tayari wako sokoni na walioko vyuoni. Aidha mafunzo haya yamewabadilisha vijana wengi waliohudhuria kuhusu suala zima la kuajiriwa na...

 

10 years ago

Michuzi

Utalii unavyoweza kuleta ajira kwa vijana

Kukua kwa biashara ya watalii kumeweza kutoa ajira kwa vijana wengi nchini,Huku ikikuza vipaji vya kazi za mikono ambapo zina soko kubwa kwa wageni kijana huyo alikutwa akichora picha ya mbuyu katika mitaa ya Hurumzi Stree Stone Town. Picha na Sabry Juma wa Zanzibar.

 

9 years ago

Dewji Blog

Fastjet yaongeza ajira kwa vijana Tanzania

ONE

Meneja Mkuu wa shirika la ndege la fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (katikati) katika picha ya pamoja na wahudumu 12 (wenye sare) wa ndege hiyo waliohitimu mafunzo yao na tayari kwa kuanza kazi. Wengine katika picha ni Meneja wa wahudumu wa ndege ya Fastjet Eugene Dadet (mwenye vazi jeupe)  na mwasibu mkuu wa fastjet, Evelyn Mtenga (Kushoto).

TWO

Meneja mkuu wa shirika la ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (katikati), Meneja wa wahudumu wa ndege ya Fastjet Eugene Dadet...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani