Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fahamu namna unavyoweza kunufaika kutokana na kupenda kujisomea

Hivi karibuni nilipokuwa nafikiria kuhusu safu yangu ya Jitambue, niligundua kuwa nimekuwa nikiandika makala kila Jumapili sasa yapata mwaka mmoja na nusu. Baada ya kubaini hivyo, kuna swali moja likanijia katika mawazo yangu. “Je wasomaji wangu wanajua jinsi ya kunufaika kutokana na usomaji?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

FAHAMU MAZINGIRA RAFIKI YA KUJISOMEA

Kila kitu kina mazingira yake ya kuweza kukifanya kwa ufanisi ili kutoa matokeo yaliyokusudiwa kwa asilimia kubwa; vivyo hivyo zoezi la kujisomea kwa wanafunzi pia hupaswa kuandaliwa mazingira rafiki ili kufanya ubongo upokee mambo mengi kwa wakati mmoja na hatimaye kuweza kufaulu vizuri katika masomo yao. Wanafunzi wengi hujisomea bila kujali mazingira ya kufanya hivyo jambo ambalo huwafanya washindwe kufaulu mitihani yao vizuri...

 

9 years ago

Mwananchi

Namna unavyoweza kuimba sauti ya ndani yako ili kupata maendeleo

Mwaka 2007 kuna mtu alikuja na kunieleza kuwa kila mtu ameshachukuliwa nimebaki mimi! Nikamuuliza una maana gani? Akanijibu kimkato sana, “ Wewe acha tu ishi toleo la mwingine.” Ilinichukua muda kuelewa hakika huyu mtu anamaanisha nini kwa kauli hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu jinsi unavyoweza kutumia kushindwa kwako kama kichocheo cha kupata ushindi maishani

Je umewahi kushindwa kutenda jambo lilikuwa muhimu sana kwa maendeleo ya maisha yako? Je hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache sana? Inapotokea huwa unafanya nini? Huwa unakata tamaa kabisa na kuacha kujaribu tena? Kabla hujatafakari sana kuhusu suala hili hebu soma taarifa yangu fupi kuhusu suala hili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Fahamu namna ya kusali sala ya Idi nyumbani

Virusi vya Corona: Fahamu namna ya kusali sala ya Idi nyumbani

 

10 years ago

Vijimambo

FAHAMU: Namna ya kujibashiria rizki yako kwa kutumia kiganja cha mkono wako

Imeandaliwa na John Haule wa Rumours AfricaMstari wa rizki katika Wiki jana tuliuzungumzia mstari wa maisha au Life Line. Tuliona faida za kuutumia mstari huo kujijua ulivyo na kujua unatakiwa ufanyaje ili kufanikisha mambo yako maishani, na pia tuliona hasara za kutojua kuusoma mstari huo pia.Wapo walionipigia kutaka kujua kuwa niliwezaje kujua rais wa zamani wa Libya Kanali Muhammar Gadaffi, na rais wa zamani wa Uganda Idd Amin Dada wana alama nilizowatajia ilihali si rahisi kuwasogelea...

 

9 years ago

Vijimambo

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU(JAMIIMOJABLOG)
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mbinu za watoto kujisomea, kujifunza

Wazazi wengi wanaamini kuwa elimu ndiyo mkombozi mkubwa wa maisha ya watoto wao.

 

10 years ago

Mwananchi

Tusipopenda kujisomea tutapataje maarifa?

Maendeleo yote ya binadamu yametokana na maarifa. Maarifa ni ufahamu, uwezo wa kufikiri, utambuzi, ujuzi na utashi.

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPYNESS WATIMANYWA AFUNGUA CLUB YA KUJISOMEA WATOTO YA NKEMA

Redds Miss Tanzania 2013, Happness Watimanywa (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Club ya kujisomea watoto ya ijulikanayo kwa jina la Nkema Reading Club iliyopo Kinondoni Mtaa wa Kasana jirani na Kituo kinachojengwa kwa ajli ya Mabasi ya Mwendokasi nyuma ya Sheli ya Mwanamboka katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Club hiyo, Getrude Kilyabusebu.Redds Miss Tanzania 2013, Happyness Watimanywa (kushoto), akiwafundisha kusoma watoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani