Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAHAMU MAZINGIRA RAFIKI YA KUJISOMEA

Kila kitu kina mazingira yake ya kuweza kukifanya kwa ufanisi ili kutoa matokeo yaliyokusudiwa kwa asilimia kubwa; vivyo hivyo zoezi la kujisomea kwa wanafunzi pia hupaswa kuandaliwa mazingira rafiki ili kufanya ubongo upokee mambo mengi kwa wakati mmoja na hatimaye kuweza kufaulu vizuri katika masomo yao. Wanafunzi wengi hujisomea bila kujali mazingira ya kufanya hivyo jambo ambalo huwafanya washindwe kufaulu mitihani yao vizuri...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Fahamu namna unavyoweza kunufaika kutokana na kupenda kujisomea

Hivi karibuni nilipokuwa nafikiria kuhusu safu yangu ya Jitambue, niligundua kuwa nimekuwa nikiandika makala kila Jumapili sasa yapata mwaka mmoja na nusu. Baada ya kubaini hivyo, kuna swali moja likanijia katika mawazo yangu. “Je wasomaji wangu wanajua jinsi ya kunufaika kutokana na usomaji?

 

10 years ago

Habarileo

Wabunifu wakumbushwa majengo rafiki wa mazingira

SERIKALI imetoa wito kwa wataalamu wa majengo na wabunifu wa majenzi kuwa wabunifu zaidi kwa kuzingatia matumizi ya vifaa ambavyo vitakuwa rafiki kwa mazingira na matumizi sahihi ya nishati katika majengo.

 

9 years ago

Habarileo

Wahimiza mazingira rafiki uchaguzi mkuu

CHAMA cha Walemavu Mkoa wa Mwanza (CHAWATA) kimeiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuweka mazingira rafiki kwa watu wote wenye ulemavu katika vituo vya kupigia kura, ili wapate haki yao ya kupiga kura.

 

5 years ago

BBCSwahili

Rwanda yazindua magari rafiki kwa mazingira

Rwanda yazindua magari yanayotumia umeme ambayo ni rafiki kwa mazingira ya nchini humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msigara: Nitaunga mkono serikali yenye mazingira rafiki

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Frederick Msigara, amesema hana uhakika kama muundo wa serikali tatu unaweza kuwa njia pekee ya ufumbuzi wa kero walizonazo wananchi. Msigara alitoa kauli hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchaguzi 2015; wanawake watengenezewe mazingira rafiki ya kushindana

Wakati uchaguzi wa vyama vingi uliporejeshwa mwaka 1995, ni wanawake wachache sana walionyesha nia ya kuwania nafasi za uongozi, iwe za udiwani, ubunge na hata urais.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mazingira yasiyo rafiki yakwamisha masomo mabinti wanaobalehe

DSC02363

Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida na mkuu wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda,akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani, matumizi ya vyoo bora duniani na usafi wa mazingira kwa mkoa wa Singida.Maadhimisho hayo yamefanyika katika kijiji cha Mgongo kata Shelui wilaya ya Iramba.

Na Nathaniel Limu, Iramba

WANAFUNZI  wa kike ambao wamefikia umri wa kubalehe, kipindi  cha hedhi hulazimika kuacha masomo  na kukaa nyumbani takribani siku 60 za masomo kwa mwaka;...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ifahamu njia mpya ya kuzika mwili ambayo ni rafiki kwa mazingira

Kampuni moja ya Marekani imedai kwamba njia mpya ya kuzika mwili inasaidia kuzuia kaboni zaidi ya tani moja, kulingana na utafiti

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yajipanga kuboresha mazingira rafiki ya hedhi Salama kwa wanafunzi

Mratibu wa huduma ya Maji, Afya na Usafi wa mazingira shuleni kutoka wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bi Theresia Kuiwite (Katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Hedhi Duniani yatakayofanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania tarehe 28 Mei, yatakayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. 
Kauli mbiu ya mwaka huu Ikiwa "Usisite Kuzungumzia Hedhi". Wengine kushoto ni Mwandaaji wa maadhimisho hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani