Mazingira yasiyo rafiki yakwamisha masomo mabinti wanaobalehe
Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida na mkuu wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda,akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani, matumizi ya vyoo bora duniani na usafi wa mazingira kwa mkoa wa Singida.Maadhimisho hayo yamefanyika katika kijiji cha Mgongo kata Shelui wilaya ya Iramba.
Na Nathaniel Limu, Iramba
WANAFUNZI wa kike ambao wamefikia umri wa kubalehe, kipindi cha hedhi hulazimika kuacha masomo na kukaa nyumbani takribani siku 60 za masomo kwa mwaka;...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/omkt7cwbhXKIC7bU-7R7MgWqD92GgSt*pheBPgDYYw1RQmYkXiAHzIf-tg2giJhjHUhZAY4sHOaiPYFteo0**4Tpow6w-xy4/shija.jpg?width=650)
MASOMO YAKWAMISHA NDOA YA SHIJA
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Ajira na mazingira yasiyo na dawa za kulevya huua Panya Road
10 years ago
MichuziKILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Serikali imeendelea kujenga mazingira wezeshi kwa ajili ya mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO’s)
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Bw. Marcel Katemba akiongea na waandishi wa habari( Hawapo pichani)kuhusu juhudi zinazofanywa na serikali katika kuyajengea mazingira mazuri ya ufanyaji kazi Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) ili kuongeza ushiriki na kutoa mchango wao katika kuleta maendeleo katika jamii, Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jiijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZFVQGyC-7KiO-nOQB1YSe*UNqVV*o76zkhAGZ0SB16OE9mbpj98AqWi0fmn8mC9j4IsiKk8kR4VwJmakALlddwV*HI4kSzML/studyincanadapic1.jpg)
FAHAMU MAZINGIRA RAFIKI YA KUJISOMEA
9 years ago
Habarileo16 Aug
Wahimiza mazingira rafiki uchaguzi mkuu
CHAMA cha Walemavu Mkoa wa Mwanza (CHAWATA) kimeiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuweka mazingira rafiki kwa watu wote wenye ulemavu katika vituo vya kupigia kura, ili wapate haki yao ya kupiga kura.
10 years ago
Habarileo01 Jul
Wabunifu wakumbushwa majengo rafiki wa mazingira
SERIKALI imetoa wito kwa wataalamu wa majengo na wabunifu wa majenzi kuwa wabunifu zaidi kwa kuzingatia matumizi ya vifaa ambavyo vitakuwa rafiki kwa mazingira na matumizi sahihi ya nishati katika majengo.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Rwanda yazindua magari rafiki kwa mazingira
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Uchaguzi 2015; wanawake watengenezewe mazingira rafiki ya kushindana