KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU
Waziri Lukuvi akimkabidhi mwanafunzi wa shule ya Msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti cha ushiriki mzuri wa siku ya walemavu
mwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward Bagandashwa
Kamishina wa ustawi wa jamii Bw Dunford Makala akitoa salam zake
Walemavu nchini wakiwa katika maandamano leo wakati wa kilele cha siku ya walemavu duniani kwa Tanzania maadhimisho hayo yamefanyika mkoa wa Iringa,kushoto ni mkalimani wa kujitolea ambae ni Mtangazaji wa radio Nuru Fm Bw ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU YAFANYIKA IRINGA
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Serikali ijenge mazingira rafiki kwa majengo yote ya kusomea ili kuwasaidia walemavu — TASI
Katibu wa chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini, TASI, Ziada Msembo (kulia) akimkabidhi mwalimu wa wanafunzi walemavu wakiwakiwemo Albino shule ya msingi Ikungi mchanganyiko, Donard Bilali vitabu vya sheria zinazowahusu walemavu.
Katibu wa chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) nchini, Ziada Msembo akimkabidhi losheni ya kujikinga na miale ya jua mwanafunzi mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) wa shule ya msingi Ikungi mchanganyiko.
Katibu wa chama cha watu wenye...
9 years ago
StarTV30 Dec
Majengo machakavu changamoto kwa walemavu Chuo Cha Ufundi Yombo
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia watu wenye ulemavu Dokta Abdallah Possi ameeleza kusikitishwa na hali aliyoikuta katika Chuo cha Ufundi Yombo kwa watu wenye ulemavu.
Katika ziara yake ya kwanza tangu ateuliwa kushika wadhifa huo, Dokta Possi amekuta uchakavu wa majengo ya chuo hicho sambamba na kumegwa kwa eneo la ukubwa wa ekari Tano.
Dk. Possi ambaye alifika chuoni hapo alianza kwa kukagua maeneo yanayozunguka chuo hicho na kujionea hali halisi ya chuo hicho kilichodaiwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ayi9WmYtAow/VH9GZ3N2-3I/AAAAAAAG1EQ/1lakuooawZ8/s72-c/unnamed%2B(31).jpg)
SIKU YA WALEMAVU DUNIANI ZANZIBAR YASHEREHEKEWA KITAIFA CHAKE CHAKE, PEMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ayi9WmYtAow/VH9GZ3N2-3I/AAAAAAAG1EQ/1lakuooawZ8/s1600/unnamed%2B(31).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-mTYPsurbjVI/VH9GaEPG31I/AAAAAAAG1EU/aZ-ro06S1WU/s1600/unnamed%2B(32).jpg)
11 years ago
GPLKILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA ALBINO DUNIANI
11 years ago
GPLKILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA FISTULA DUNIANI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FwN3MADbnzQ/VKVW43bRRnI/AAAAAAAG61Q/0JiOZslwOpI/s72-c/IMG_8443.jpg)
DKT. SHEIN AONGOZA SIKU YA KILELE CHA MAZOEZI KITAIFA,ZANZIBAR LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-FwN3MADbnzQ/VKVW43bRRnI/AAAAAAAG61Q/0JiOZslwOpI/s1600/IMG_8443.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-q3AIVXGhKHE/VKVW5FLPdvI/AAAAAAAG61Y/ZSKZu_Mr8Ws/s1600/IMG_8468.jpg)
10 years ago
Michuzi07 Oct
NHC katika maadhimisho ya kilele cha Siku ya Makazi Duniani
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Majengo yawanyima raha walemavu nchini