Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA FISTULA DUNIANI‏

Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani. Mmoja wa wasanii wa kundi la “Mpoto Theater”akigawa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA ALBINO DUNIANI

Umati wa watu waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Albino Duniani wakiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akitoa hotuba fupi.…

 

10 years ago

Michuzi

NHC katika maadhimisho ya kilele cha Siku ya Makazi Duniani

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa, Yahya Charahani. Katika ujumbe wake wa siku ya makazi mwaka huu Waziri Tibaijuka ameviagiza vyombo vinavyohusika na upangaji miji kuongeza zaidi kazi ya upimaji wa makazi na kisha kuyaboresha makazi yaliyokwishavurugika kwa hivi sasa kwa mujibu wa takwimu za UN HABITAT, robo ya idadi ya watu wanaoishi mijini kote duniani na...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA COCACOLA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Mwanza na wa Kiwada cha Cocacola, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana Juni 5, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza...

 

11 years ago

GPL

SIKU YA FISTULA DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA ZANZIBAR‏

Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Fistula, Mwakilishi wa Baraza la wawakilishi, Wanu Ameir (kushoto) akipokewa na Balozi wa Fistula, Khadija Salum baada ya kuwasili kwenye hospitali ya Kwamtipura mjini Zanzibar jana,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Fistula Duniani na utoaji wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.
Wananchi wakimsikiliza mgeni...

 

10 years ago

GPL

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU YAFANYIKA IRINGA

Waziri Lukuvi akimkabidhi mwanafunzi wa shule ya msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti cha ushiriki mzuri wa siku ya walemavu. Mwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward Bagandashwa.…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA

Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akitoa salamu zake kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akitoa hotuba yake katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
PICHA ZAIDI ZINAKUJIA HIVI PUNDE

 

9 years ago

Michuzi

DKT SEIF MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA VIZIWI DUNIANI

WAZIRI wa afya na ustawi wa jamii Dkt Seif Rashid (Pichani)anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya viziwi duniani itakayofanyika Septemba 27, 2015 kwenye viwanja vya Bwawani mjini Kibaha mkoani Pwani.
Hayo yamesemwa na Afisa Jinsia na Maendeleo kutoka Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Bi. Lupi Mwaisaka Maswanya alipokuwa  akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Bi. Mwaisaka amesema kuwa lengo la maadhimisho hayo ni kujenga mwamko wa jamii...

 

11 years ago

GPL

MATUKIO KATIKA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA TGNP‏

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA KILELE CHA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea mabanda mbalimbali yaliyokuwa yakitoa huduma ya afya ya mama na mtoto wakati wa kilele cha cha sherehe za siku ya wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Dar es Salaam tarehe 5.5.2014. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimsalimi mtoto Rahim mwenye umri wa miezi 2 akiwa na baba yake ndugu Amir Adam, 35, na mama yake Hamida (kushoto) walipompeleka kupata chanjo wakati wa sherehe za kilele cha siku ya wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani