Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT SEIF MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA VIZIWI DUNIANI

WAZIRI wa afya na ustawi wa jamii Dkt Seif Rashid (Pichani)anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya viziwi duniani itakayofanyika Septemba 27, 2015 kwenye viwanja vya Bwawani mjini Kibaha mkoani Pwani.
Hayo yamesemwa na Afisa Jinsia na Maendeleo kutoka Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Bi. Lupi Mwaisaka Maswanya alipokuwa  akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Bi. Mwaisaka amesema kuwa lengo la maadhimisho hayo ni kujenga mwamko wa jamii...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI DAR

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Raymond Mushi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar esb Salaam terehe 8.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mamia ya akina mama kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar es Salaam tarehe 8.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA

Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akitoa salamu zake kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akitoa hotuba yake katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
PICHA ZAIDI ZINAKUJIA HIVI PUNDE

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI MGENI RASMI KILELE CHA NANE NANE MKOANI MOROGORO

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema kwamba wakati Serikali inaendelea na jitihada za kuimarisha sekta ya Kilimo ili ikue kwa kasi ya asilimia Tano Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanapaswa kuitumia fursa ya uzalishaji wa mazao ya Kilimo kuwekeza katika miundombinu na viwanda kwa lengo la kuyaongezea thamani mazao hayo. Alisema uwekezaji huo utawapa nguvu zaidi za uzalishaji wakulima na hatimae kuongeza kipato chao kutokana na uzalishaji wa bidhaa zilizo katika...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA COCACOLA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Mwanza na wa Kiwada cha Cocacola, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana Juni 5, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, MKOANI TANGA.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja Vya Tangamani, mkoano Tanga leo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mazingira wa Ofisi yake, Dkt. Julius Ningu, wakati alipotembelea kwenye banda la maonyesho la Ofisi ya Makamu wa Rais, kwenye Sherehe za...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA WIKI YA WAUGUZI JIJINI DODOMA



Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa kilele cha  maadhimisho ya wiki ya Wauguzi katika   Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge na kushoto kwake ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dkt. Ernest Ebenzi.Baadhi ya Wauguzi wa   Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...

 

11 years ago

GPL

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA ALBINO DUNIANI

Umati wa watu waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Albino Duniani wakiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akitoa hotuba fupi.…

 

11 years ago

GPL

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA FISTULA DUNIANI‏

Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani. Mmoja wa wasanii wa kundi la “Mpoto Theater”akigawa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani