BALOZI SEIF ALI IDDI MGENI RASMI KILELE CHA NANE NANE MKOANI MOROGORO

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema kwamba wakati Serikali inaendelea na jitihada za kuimarisha sekta ya Kilimo ili ikue kwa kasi ya asilimia Tano Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanapaswa kuitumia fursa ya uzalishaji wa mazao ya Kilimo kuwekeza katika miundombinu na viwanda kwa lengo la kuyaongezea thamani mazao hayo. Alisema uwekezaji huo utawapa nguvu zaidi za uzalishaji wakulima na hatimae kuongeza kipato chao kutokana na uzalishaji wa bidhaa zilizo katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL MGENI RASMI MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI


10 years ago
Michuzi
SSRA katika maonesho ya Sherehe ya wakulima (NANE NANE) Mkoani Morogoro


10 years ago
Michuzi
BALOZI SEIF IDDI MGENI RASMI KWENYE MAHAFALI YA SHUO CHA ELIMU YA BIASHARA PEMBA



11 years ago
Michuzi.jpg)
Balozi Seif Ali Iddi azindua rasmi kitabu cha Historia ya Vyombo vya Habari Zanzibar
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
DKT SEIF MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA VIZIWI DUNIANI

Hayo yamesemwa na Afisa Jinsia na Maendeleo kutoka Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Bi. Lupi Mwaisaka Maswanya alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Bi. Mwaisaka amesema kuwa lengo la maadhimisho hayo ni kujenga mwamko wa jamii...
9 years ago
Michuzi
Balozi Seif Ali Iddi atoa Taarifa rasmi ya Maadhimisho ya Sherehe za Mikaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar
11 years ago
Michuzi.jpg)
Balozi seif ali Iddi atembelea Kijiji cha Kilombero
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI DAR
11 years ago
Michuzi
Balozi seif ali iddi afunguwa Kituo cha Afya Cha Pwani Mchangani Wilaya ya Kaskazini “A”, Unguja


