Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUKIO KATIKA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA TGNP‏

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TGNP Mtandao na Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam.Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam wakiingia kwa maandamano mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo. Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam wakiingia kwa maandamano mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo.Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam waifuatilia mada anuai katika maadhimisho hayo. Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark, Antu Mandoza na Nuru Lyau.Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia), akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa warsha...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ITAKAYOFANYIKA MACHI, 7, 2015 MLIMANI CITY JIJINI DAR.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark,  Antu Mandoza na Nuru Lyau. Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia), akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake Wizara ya Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wameungana na Wanawake wengine duniani kote katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi mmoja, Jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa ni Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni "UWEZESHAJi WANAWAKE TEKELEZA WAKATI NI SASA"
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu,...

 

11 years ago

Michuzi

Wanawake Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wameungana na Wanawake wengine kote duniani katika kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika katika Viwanja vya Mwembe Yanga Temeke, jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Hawa Ghasia (Mb.). Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni "CHOCHEA MABADILIKO KULETA USAWA WA KIJINSIA" Wanawake wa Wizara ya Mambo...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ITAKAYOFANYIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY DAR ES SALAAM MACHI, 7, 2015

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark,  Antu Mandoza na Nuru Lyau.  Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia),… ...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMKABIDHI ZAWADI MFANYAKAZI BORA WA MWAKA KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, HERMAN KACHIMA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI‏

Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio (Kushoto), akimsikiliza kwa makini, Naibu Katibu mMkuu wa Wizara ya Habari, Vijana na Michezo, Profesa Ole Gabriel, wakati wa maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 5, Herman Kachima, ambaye ni Msimamizi wa huduma kwa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani