Wanawake Wizara ya Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wameungana na Wanawake wengine duniani kote katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi mmoja, Jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa ni Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni "UWEZESHAJi WANAWAKE TEKELEZA WAKATI NI SASA"
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWanawake Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
10 years ago
Michuzi11 Mar
TTCL ilivyoshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
![TTCL na Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/WD2.jpg)
![Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya akina mama baada ya kutembelea banda la TTCL kwenye maadhimisho hayo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/WD4.jpg)
![Picha ya pamoja ya baadhi ya akina mama na viongozi wa mkoa waliohudhuria katika siku yao muhimu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/WD7.jpg)
BOFYA HAPA PICHA ZAIDI
10 years ago
Vijimambo05 Mar
TGNP Mtandao na Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
![Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0386.jpg)
![Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam wakiingia kwa maandamano mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0329.jpg)
![Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam waifuatilia mada anuai katika maadhimisho hayo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0407.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-o72Bg_CFnTk/VOWjkisuOmI/AAAAAAAHEfQ/K_YoNGGRK70/s72-c/images%2B(1).jpeg)
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUFANYIKA MACHI 8, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-o72Bg_CFnTk/VOWjkisuOmI/AAAAAAAHEfQ/K_YoNGGRK70/s1600/images%2B(1).jpeg)
Maadhimisho haya hutoa fursa kwa Taifa, mikoa, wilaya na wadau wengine kupima mafanikio yaliyopatikana katika kuwendeleza wanawake na...
11 years ago
Michuzi06 Jun
Wizara ya Mambo ya Nje yaadhimisha Siku ya Mazingira Duniani
5 years ago
MichuziDC TALABA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WILAYANI KISHAPU
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/03/IMG_0323.jpg?width=650)
MATUKIO KATIKA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA TGNP
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA TAIFA LA SWEDEN