Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majengo machakavu changamoto kwa walemavu Chuo Cha Ufundi Yombo

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia watu wenye ulemavu Dokta Abdallah Possi ameeleza kusikitishwa na hali aliyoikuta katika Chuo cha Ufundi Yombo kwa watu wenye ulemavu.

Katika ziara yake ya kwanza tangu ateuliwa kushika wadhifa huo, Dokta Possi amekuta uchakavu wa majengo ya chuo hicho sambamba na kumegwa kwa eneo la ukubwa wa ekari Tano.

Dk. Possi ambaye alifika chuoni hapo alianza kwa kukagua maeneo yanayozunguka chuo hicho na kujionea hali halisi ya chuo hicho kilichodaiwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wahitimu chuo cha ufundi kwa walemavu wakosa ajira

WAHITIMU wa Chuo cha Ufundi cha watu wenye ulemavu Yombo wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kukosa ajira kutokana na mtazamo potofu wa jamii. Hayo yalibainishwa juzi jijini Dar es Salaam...

 

5 years ago

Michuzi

DIWANI AOMBA CHUO KIPYA CHA UFUNDI KWA WALEMAVU MKOANI SINGIDA



Diwani wa Kata ya Utemini, Baltazar Kimario.


Na Ismail Luhamb,Singida.

DIWANI wa Kata ya Utemini Manispaa ya Singida, Baltazar Kimario, ameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kujenga chuo kipya cha ufundi stadi cha kwa ajili ya watu wenyeulemavu mkoani hapa.

Akizungumza na waandishi wa habari katika kikao cha baraza la madiwani kilicho keti mwishoni mwa wiki, Kimario, alisema chuo kinachoendelea kutumika kilijengwa miaka ya 70 hivyo miundombinu yake imechakaa inahitaji ukarabati wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vikwazo vinavyofifisha malengo Chuo cha Walemavu Yombo

WIKI ya Kimataifa kwa Vitendo (Global Action Week) yenye kaulimbiu ya ‘Elimu na Watoto wenye Ulemavu’ iliyoanza Mei 4 mwaka huu,  imeibua changamoto lukuki zinazowakabili wanafunzi wenye ulemavu katika Chuo...

 

10 years ago

Michuzi

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU

 Waziri  Lukuvi  akimkabidhi  mwanafunzi  wa shule ya Msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti  cha ushiriki mzuri wa siku ya  walemavumwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward BagandashwaKamishina  wa ustawi  wa jamii Bw Dunford Makala akitoa salam zakeWalemavu  nchini  wakiwa katika maandamano  leo  wakati wa kilele  cha siku ya  walemavu duniani kwa Tanzania maadhimisho hayo yamefanyika  mkoa  wa Iringa,kushoto ni mkalimani  wa  kujitolea  ambae ni Mtangazaji wa radio  Nuru Fm Bw ...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU MPYA WA TBL AKAGUA MAJENGO WALIYOYAKABIDHI KWA CHUO KIKUU CHA STEPHANO MOSHI

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL,Roberto Jarrin akiongozwa na mkufunzi katika Chuo Kikuu Kishiriki cha kumbukumbu ya Stephano Moshi,Gasper Mpehongwa kutembelea vyumba vya madarasa ambavyo vinatumika kwa ajili ya masomo pamoja na mitihanikatika eneo la TBL mjini Moshi.Eneo hilo limetolewa na TBL kwa chuo hicho ikiwa ni kurudisha sehemu ya faida inayopatikana kwa wananchi.
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL,Roberto Jarrin akiwa ameambatana na mkuu wa chuo Kikuu...

 

9 years ago

Habarileo

Majengo chuo cha tiba cha kijeshi yakabidhiwa

SERIKALI imekabidhiwa majengo mapya ya Chuo cha Sayansi na Tiba cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi. Akizungumza baada ya makabishidhiano hayo, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi (pichani) alisema chuo hicho kitasaidia kuongeza utoaji wa wataalamu wa tiba hususani madaktari.

 

11 years ago

Mwananchi

Msondo; Chuo cha muziki kisicho na majengo

>Inaitwa Msondo Music Band ikiwa ni bendi  iliyopitia majina mengine matatu kabla ya hilo. Ilipoanzishwa iliitwa Nutta Jazz  baadaye Juwata Jazz, kisha Ottu Jazz, mabadiliko ambayo yaliakisi pia kubadilika kwa jina la Chama cha Wafanyakazi  kilichokuwa kikimiliki bendi hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

siku ya familia ya Chuo cha Ufundi Arusha yafana

  Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha,Dk Richard Massika kulia)akiwa na wafanyakazi wenzake kwenye mazoezi ya viungo katika viwanja vya chuo hicho. J.Makamu Mkuu wa Chuo,Utawala na Fedha,Dk Erick Mgaya akishangilia baada ya timu yake(Idara ya Umeme)kutwaa ubingwa wa mpira wa miguu dhidi ya AutoMech.  Kukimbiza Kuku. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani