Msondo; Chuo cha muziki kisicho na majengo
>Inaitwa Msondo Music Band ikiwa ni bendi iliyopitia majina mengine matatu kabla ya hilo. Ilipoanzishwa iliitwa Nutta Jazz baadaye Juwata Jazz, kisha Ottu Jazz, mabadiliko ambayo yaliakisi pia kubadilika kwa jina la Chama cha Wafanyakazi kilichokuwa kikimiliki bendi hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo30 Sep
Majengo chuo cha tiba cha kijeshi yakabidhiwa
SERIKALI imekabidhiwa majengo mapya ya Chuo cha Sayansi na Tiba cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi. Akizungumza baada ya makabishidhiano hayo, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi (pichani) alisema chuo hicho kitasaidia kuongeza utoaji wa wataalamu wa tiba hususani madaktari.
11 years ago
Habarileo04 Mar
Chuo Kikuu cha Stefano Moshi chakabidhiwa majengo
CHUO Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) cha mkoani Kilimanjaro, kimekabidhiwa majengo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa mkataba wa miaka mitano, lengo likiwa ni kuboresha maendeleo ya elimu nchini.
9 years ago
StarTV30 Dec
Majengo machakavu changamoto kwa walemavu Chuo Cha Ufundi Yombo
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia watu wenye ulemavu Dokta Abdallah Possi ameeleza kusikitishwa na hali aliyoikuta katika Chuo cha Ufundi Yombo kwa watu wenye ulemavu.
Katika ziara yake ya kwanza tangu ateuliwa kushika wadhifa huo, Dokta Possi amekuta uchakavu wa majengo ya chuo hicho sambamba na kumegwa kwa eneo la ukubwa wa ekari Tano.
Dk. Possi ambaye alifika chuoni hapo alianza kwa kukagua maeneo yanayozunguka chuo hicho na kujionea hali halisi ya chuo hicho kilichodaiwa...
10 years ago
VijimamboCHUO CHA MUZIKI CHA TRIPLE J SOUND & MUSIC COLLEGE KIMEFANYA MAHAFALI YAKE YA KWANZA.
10 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU MPYA WA TBL AKAGUA MAJENGO WALIYOYAKABIDHI KWA CHUO KIKUU CHA STEPHANO MOSHI
9 years ago
Bongo520 Aug
Nahreel kufungua chuo cha muziki ‘TIMS’
9 years ago
Bongo529 Sep
Nahreel aelezea kwanini ameweka masharti magumu ya kujiunga na chuo chake cha muziki
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA CHAMA KISICHO CHA KISERIKALI NCHINI UBELIGIJI